Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

WE MWEHU HUJAWAHI INGILIWA NA MAJAMBAZI WEWE..JUZI MTAANI WAMEMPIGA NONDO YA KICHWA MZEE NA KUMKATA MKONO MWANAE HADI MZEE KAFA...AISEE WAKIINGIA ANGA ZANGU NI KIBERITI TU HADI WAISHE..HATA VITABU VYA DINI VIPO WAZI KATIKA HILI
Huyo Dogo anaitwa Minyembe ,yaani viwembe, alikua hakosi viwembe mfukoni
 
Dar bhana, haya wavalisheni nguo za chadema alafu mseme wana andamana kipigo cha mbwa koko kitahusika, ila unaandikaga kama unakimbvizwa
 
mtoto mmoja tu kawasumbua kawe muda wote huo na bado amekufa ila bado mko na hofu, wanaume wa dar, wanaume wa dar, wanaume wa dar nimewaita mara tatu, jitafakarini. Akija chalii mmoja tu wa arusha mtahama mkoa kabisa.
 
Tunaomba Jeshi la Polisi tushirikiane kwa pamoja kuondoa hizi fujo na kuwakanya kabisa hao wezi wenzie wasithubutu kugusa vijana wa pale M. Mapya
Hawa Polisi si ndio huwa watu wanawatukana na kuwaita njaa kali? Leo hii wanaombwa kutoa msaada wa ulinzi?
 
Msiban wanaimbaaa ameendaa ameenda DON MINYEMBE AMEENDA HATORUDI dah

Wakanikumbusha zile sachi aisee na wamamaa ngeoo walizopewaa dah
Ila mpwa unaniacha hoi kwa kicheko unanifanya nikufananishe na mtu fulani aisee
 
Ila huyu kibaka hutakaa umsahau maana umemuanzishia huu uzi wa 3
 
Hujawahi ibiwa, juzi walivunja office wakaiba computers karibia zote za jamaa, bahati nzuri wakashikwa, jamaa alishika kichwa anasema asingeweza kununua hizo computers kwa sasa na office isingeweza fanya kazi. lazima kila kitu kiwe wazi mwizi akienda kuiba ajue atakufa.
 
Thats why even the president is afraid and hesitant to sign the death sentence to be implemented and enforce due to the weight concerning humans lives valueness

Wewe unamjua vizuri Jiwe hata unaandika kuwa hapendelei watu kupoteza uhai wao? Can you answer the following question please: Do you know who is behind the disappearance of Ben Saanane and Alphonse Mawazo? Under his watch many people have been killed by the police and defense forces!!!
 
P DIDDY UKITAKA WAJE HARAKA SEMA CHADEMA WNAATAKA FANYA FUJO AU MAANDAMANO DAKIKA MBILI HADIO MATRAFIKI WATATIA TIMU HAPO
 
Pdidy siku mbili hizi yeye na story za Minyembe tu,hili dubwasha inaonekana lilikuwa likimtisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…