mtoto mmoja tu kawasumbua kawe muda wote huo na bado amekufa ila bado mko na hofu, wanaume wa dar, wanaume wa dar, wanaume wa dar nimewaita mara tatu, jitafakarini. Akija chalii mmoja tu wa arusha mtahama mkoa kabisa.
Hii taarifa si ya kupuuza kuna muhuni alikwapua maeneo ya kimara wenye walikua washamchoka wakamsubmit kuzimu ,siku ya mazishi yake wahuni kutoka mbagala,chanika,kigambani wengine kutoka chato walitimba kwa dhumuni la kumzika kamanda wao na kutoa somo kwa raia walikua wamejaza mapanga kwenye coaster zao bahati nzuri intelligence ya mtaa ilikua level za KGB good cops walifanya kazi yao ipasavyo wahuni walipigwa home and away