hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #21
Sisi kitambo tulikuwa tunajua anamuonea wivu mwamposa ,na tunaoshiriki mihadhara tulishamuona ana njaa ,alikuwa baada ya mihadhara anatoa Aya za vitisho, anatoa Hadith za Adhabu za kaburi ,Mazinge ana wivu wa kike sana huyu jamaa. Kuna speech yake Moja ana mponda mwamposa eti "Sasa Hivi Kuna mtume wa kinyakyusa anaitwa mwamposa kawauzia watu udogi kijiko buku na kapata milioni900 kajenga hotel hapo mbeya."
Nikajiuliza maswali Inakuwaje mtu wa dhehebu na dini jingine anajua Hadi mapato ya mtu wa dini nyingine kabisa yote hayo Tisa ...kumi Hadi kajua fika kuwa Ile Hela ya udongo kajengea hoteli !?......... Muda wa kufatilia haya yote mazinge alitoa wapi? Yaani mazinge kawazidi hata wanao ununua ule udongo asee!!
Waislamu wanamchangia pesa
Kwahiyo ilikuwa matter of time tu kuingia kwenye biashara ya huu utapeli