Mazinge huna nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako

Sisi kitambo tulikuwa tunajua anamuonea wivu mwamposa ,na tunaoshiriki mihadhara tulishamuona ana njaa ,alikuwa baada ya mihadhara anatoa Aya za vitisho, anatoa Hadith za Adhabu za kaburi ,

Waislamu wanamchangia pesa

Kwahiyo ilikuwa matter of time tu kuingia kwenye biashara ya huu utapeli
 
Acha wote waokoke...

..Ni Hayo Tu!!
 
Mazinge anasema aishafungwa jela kwa kusingiziwa kubomoa bucha la nyama ya nguruwe na pia kuiba mizani ya kupima uzito wa nyama ya nguruwe😄😄
 
Mazinge anasema aishafungwa jela kwa kusingiziwa kubomoa bucha la nyama ya nguruwe na pia kuiba mizani ya kupima uzito wa nyama ya nguruwe😄😄
🤣🤣😀Ni muongo muongo sana
 
Ulichoandika ni kweli

Kwasasa Sheikh MAZINGE na yule anayejiita Sheikh SHARIF ni wauzaji wa maji ya Upako wanaita Dauwah ya kuondoa mikosi, wachawi na majini

Kwahiyo hawana tofauti na Mwamposa
 
Ulichoandika ni kweli

Kwasasa Sheikh MAZINGE na yule anayejiita Sheikh SHARIF ni wauzaji wa maji ya Upako wanaita Dauwah ya kuondoa mikosi, wachawi na majini

Kwahiyo hawana tofauti na Mwamposa
Wamegeuza Dini biashara wamegundua watakufa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…