Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Ikawaje
 
Hahaaaaaa, me nakumbuka tulienda kijijini kwenye sherehe, Kuna Mdada wa Kiarusha alitokea kunizoea huyo mdada mwenye shepu matata ambaye ni mke wa Mkuu wa Wilaya flani hivi, Siku niliyofika ndio tulionana na alianzisha mazoea nami,

Nakumbuka siku hiyo ilikua usiku, Watu wengi pamoja na mme wake walienda kuangalia mpira bar, nikiwa nimekaa zangu nje nachezea simu yangu, akamtuma mtoto aje aniite, nilivyoenda nikamkuta peke yake nyuma ya nyumba akaniambia amekipenda kifua changu, nikatabasamu nikawa sina la kumjibu, akaniambia twende kwenye Zizi la ng'ombe kuna kitu anataka anionyeshe, Tulivyofika huko nikamuona kabisa amezidiwa huyu kwa jinsi alivyolegea anataka nimshughulikie, basi nikamgegeda vizuri viwili matata Akasema Ahsante Sana Beb, baada ya hapo akachukua namba yangu.

Baada ya kutawanyika kila mtu kurudi kwenye majukumu yake tukawa tunawasiliana na tunakutana kuendeleza kale kamchezo ketu.. Sio siri ni mtamu kupita maelezo..
 
Ili rafiki yako asilalamike mwambie tu ukweli nini huwa kinatokea
 
Kuwa makin na hako kamchezo kenu mkuu. Mke wa mtu sumu ipo siku huo utamu utauona mchungu kupita maelezo. By the way uliyeanzisha huu Uzi hongera!
 
dah! Mwanangu movie yako kama yangu aise, nafikiri tofauti ni location tu.
 
Huyo mkuu wa wilaya hajatenguliwa uteuzi tuu??? Dah
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…