Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Hii chai tupu na hivi sukari bei juu basi hainyweki kabisa.

Au Modds mnasemaje?
 
Kilomita 50 unatembea saa 10, nakurudi saa 10 jumla saa 20. Siku ina saa 24.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilomita 50 unatembea saa 10, nakurudi saa 10 jumla saa 20. Siku ina saa 24.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haipo hivyo sasa, wanadamka saa tisa ili wawahi kufika sokoni saa kumi na mbili kasoro! Ukibahatika kuuza kwa wachuuzi wa jumla hiyo ni bahati asubuhi hiyo hiyo unageuza!

Ila wengi wanasubiri jioni ya saa kumi jua linakuwa siyo kali wanarudi zao mdogomdogo!
 
Wastani wa binadamu kutembea ni kilomita 5 hadi 6 kwa saa...
Kilomita 50 saa kumi yanaisha.
Akitoka saa 9 usiku anafika saa 7 mchana! Hapa tena atembee bila kupumzikapumzika.
Saa 9 hadi saa saa 2 ni saa 5....wanatembea zaidi ya 10km/hr?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kachanganya mambo. Gari ikienda kwa speed ya 50km/hr maana yake itafika destination iliyopo 50km away baada ya saa zima!!!
 
Reactions: RR
Ilikuwa 2012 natoka zangu bukoba naelekea dar. Magari yetu yanasfiri umbali mrefu na wakati mungine hufika usiku sana kitu ambacho kama sio kulala njiani basi ni kufika dar usiku wa manane sana. Hii hupelekea kulala ndani ya gari au kutafuta lodge za kulala.

Nakumbuka siku hiyo nilikuwa nimekaa dirishani ili kufaidi mazuri ya nchi. Kwenye siti ya pembeni yangu alikuwepo mrembo Yukawa tunapiga mastory ya hapa na pale, mrembo akaniomba kukaa kwenye siti yangu kwa kigezo cha kutapika kutokana na taharuki za gari.

Safari iliendelea mchana kutwa mpaka kufika usiku. Dem akawa kachoka sana akaomba aniegamie asinzie, kama kawa wanaume tunajuana huwa hatukatai ombi la mwanamke isipokuwa vizinga vya pesa tu.

Alilala kwenye mapaja yangu nikaona isiwe tabu nikamshika tako, daa mtoto mzuri alikuwa amefungasha mzigo ile mbaya.

Mtoto alishtuka kukuta mkono uko kwenye kalio lake. Akaniuliza VIP nikamjibu poa tu.wakati huo mnara wa babeli umasimama kinyama kumbe aliusikia wakati amelala juu yangu.

Akaniuliza mbona huku kunadunda kama pana pumua nikamuambia siku nyingi sijapata papuchi. Sasa itakuwaje ndo swali aliloniuliza, hauumii na mbona kama ni kubwa?

Kidume nikaona swali hili ni moja ya ishara kuwa anataka inch 8 yangu. Nikamuambia tutafanya humu humu utakaa juu yangu na utaendelea na mchezo.

Ikumbukwe wakati huo gari bado liko kwenye mwendo na abiria karibia wote wamelala.

Dem akapanda juu ya mkuyenge na akaanza kupata mautam plus mtikisiko wa gari kila kitu kilienda kama kilivo pangwa.

Nilimaliza salama, usingizi ukawa mzuri sana.
Asubuhi tulipoingia dar baada ya kulala Moro usiku wa jana yake, dem aliniomba tukajipumzishe lodge za sinza kabla ya kila mtu kuendelea na 50 zake.

Hayo ndo mazingira hatarishi niliowahi kufanya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Inaonekana hapa nabishana na watoto waliozaliwa Kinondoni, kila kitu wamemalizia hapo hapo Kinondoni na kazi ukapata wilaya hiyo hiyo ya Kinondoni! Huelewi!

Unachofanya kugugu na kuleta facts za gulugulu ambazo nyingi hazirelate na uhalisia wa huku kwetu!

Huo ni wastani wa mwanadamu kutembea mwendo wa kawaida na inawezekana walichukua kipimo cha mtoto wa mama wa pale New York, wenzio huku bongo hatua moja anakukatia mita moja na nusu na speed anayopiga mtoto wa mama unaishia kumfuata kwa kukimbia! Hilo hujaona? Endelea kugugu hesabu zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vitu vingine usipende kuhadithiwa! Fanya kitu kinaitwa roadtrip! Nenda rural huko mbali kabisa na wenzako mnakaa siku tatu week mnajifunza mambo mbalimbali na mtajikuta mnarudi mmebwaga moyo na kujifunza yale yasiyowezekana kumbe yanawezekana!

Sasa niwape story halisi: Nilifika kijiji kinaitwa Mikumbi kata ya Chilangala (we si unajua kutumia gugu, angalia km zake hadi Ndanda mi nilipima kwa gari two times) nilitaka nichukue boda shs 20,000 ili nikalale Ndanda kwenye lodge ili niamke na basi la saa kumi na mbili to DSM, wenyeji wakaniambia utaondoka na wafanyabiashara saa tisa alfajiri na utawahi basi unalotaka fresh tuu, nikasema bora hii 20,000 ya boda na 30,000 ya lodge imepona (kumbuka nilikuwa na gari ila pale kileji hapakuwa driver wa kunipeleka na kulirudisha na sikuwa na sehemu salama pakuliweka hapo Ndanda kwa week mbili). Mbona nilijuta!

Kwanza, mwanamke kabeba tenga la maana la mihogo, wakaniambia wewe na hili begi lako utatutechelewesha weka juu tenga temebea mbele!

Maanina! kumi na mbili kasoro 20 nipo stand Ndanda, nililala kwenye basi kama naumwa na nafika jijini naumwa kweli kweli!

Watu wanapiga hatua na mzigo wa kubeba hilux kichwani!
 
Usipende kuropoka usiyojua. Kama unamaanisha mimi, nimezaliwa kijijini..nimekulia kijijini....nilifuata baadhi mahitaji nchi jirani. Najua kutembea.
Nikuarifu tu, hao watembea kilomita 50 kwa saa tatu waambie waende kulimbia marathon, watavunja rekodi ya dunia kabisa (kwa sasa ni 20kph).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu uko sahihi huko kijijini kuna wakurungwa wanatembea hatari hata hapo dar kuna watu nimewai kuongea wao kutembea kutoka kimara hadi kariakoo wamefanya sana au mbagala kawe
 
Duuhh weee jamaa kila maeneo upon !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Makaburini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…