Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Kwa tulio dar es salaam bana kuna sehemu ambayo kama una usafiri unaweza ukashawishika kula mbususu kwenye maeneo hatarishi likiwemo eneo la maegesho la magari la mlimani city. Kwa tuliowahi kula sehemu hiyo tukutane hapa na ilikuwaje
 
1. Lack of fund
2. Taxation
3. Poor government support
4. Exploitation
5. Poor infrastructure
6. Land alienation
7. ........................................
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.

Nikiwa form three seminary niliwahi vusha manzi kipindi cha benediction watu wapo kanisani mimi nipo sick room nakula mzigo, na nakumbuka ndio ilikuwa mara ya kwanza kutumia condom ila ukweli ilinishinda.
Nahis na naamini hapo ndipo palikuwa sehem hatarishi sana sana katika maisha yangu
 
Kwa hiyo mkuu wenzio tunaimba "Tantum Ergo" we unakatika tu[emoji16][emoji16]
 
Kipindi nipo chuo ilikuaga shambani nikatandika koti langu chini kwenye nyasi nikala mzigo ile kuondoka siafu wakaanza ningata kwenye msolopaganzi mbona nilikoma samahani sijakoma bado
Nimecheka jamani[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…