Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mi nilishawahi kufanya kwenye vichaka vya jeshi.... hahahah
 
Mi kwenye andaki tena nilikuja kusikia baadaye lile andaki kulikuwamo na bonge la nyoka linaishi mle.
Andaki ndio nini mkuu. Afu likoje huwa nasikia andaki huwa najaribu kupata picha yake hata sipati najua hutumika jeshini, kwa kingereza linaitwaje labda nikigoogle naweza pata maelezo pamoja na picha.
 
Tatizo wanawake hawawezi kufunguka kwa stories za hivi, but I believe nao wana hadithi nzuri tu.
 
Hivi huoni hata aibu kusimulia?
 
Sindano[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…