angetokea chatu maporini ingekuwaje mkuu..Sebulen jikon polini
sema wewe kama wewe sehemu ya hatari ni ipi?Wengi wamewagegwda mahaus gel sebuleni
Acha uwongo kwani ww mwenyewe si demu au?Mimi nilimugegeda demu juu ya baiskel kiti cha nyuma,nakumbuka huyo demu alikuwa mfupi sana sikuona ugumu wowote ule maana kama nilikuwa kwenye sita kwa sita.Nilivyokaribi kupizi tulidondoka chini ila dushe haikuchoka kunako maana ilikuwa imezama yote.Tuliumia sana magoti na shingo.
Mshua kavunja asee!miaka hiyo nikiwa ndio nimemaliza 4 nilikwenda hom kwa wazazi, sasa baada ya kuzoe mazingira maana sikuwahi kuishi na wazazi wangu kabisa zaidi ya kipindi cha likizo.nilikuta kuna videmu kibao ambao ni majirani nikapiga sound nikaeleweka nikakiambia kitangulie ndani maana hukukua na mtu nyumbani zaidi yangu na wazazi hua wanachelewa kurudi mpka mida ya saa 4 ucku hiv.sasa kademu kenyewe kalikua kanapenda mchezo haswa maana nilikauliza nani wa hapa anakukula kakaniambia hakuna ila kalikua kanaliwa na mwalimu wake kwenye taasisi flani hiv ya misaada. huku naendelea kumega gafla nasika baba na mama wanaita huku wakiuliza mbona leo umelala mapema sana.nilishtuka na kukimbilia store nakuchukua kikapu kikubwa na kukipeleka chumbani kwangu nikamwambia yule demu aingie kwenye kapu huku nikienda kufungua mlango, wakaingina kuendelea na mambo yao ila baba alikua kaketi sebuleni na njia yakuingia chumbani kwangu ndio hiyo hiyo. niliwaza nikamwambia yule demu kaa kimya nikatoka na kufunga kwa ufunguo nakwenda moja kwa moja kwa mshikaji na kumwambia njo unisaidie kunamzigo nimeshindwa kubeba na ukiulizwa sema ni wakwenu ulipoletwa hakukua na mtu nyumbani ndio ukaombea hapa. nikaingia ndani na mshikaji na kubeba kapu huku na huku cha ajabu baba hakuuliza chochote nikawa nimemtoa kiivyo yani, ila kesho yake baba aliniambia unaakili sana, pia nilijua ulichofanya yakaisha
Umeoña eahnyege mbaya sana
Mkuu na we ni wa korogweLile jukwaa limeshuhudia mengi sana. Ukipita saa moja unakuta kuna kashughuli kanaendelea na walinzi wapo. wanafunzi wa nyerere wameliwa sana pale.
Ndio mkuu...Mkuu na we ni wa korogwe
Upo mitaa gani mkuuNdio mkuu...
Nipo Dar mkuu ila nimekulia masuguru.Upo mitaa gani mkuu
Mi pia mishe zangu zipo dar ila nipo korogwe sasa hivi,nkija huko ntskucheki mkuu,Nipo Dar mkuu ila nimekulia masuguru.
ahaaaa dah bib alikuchomesha nn?Home.
Nakumbuka siku hiyo nilikuwa home nasubiria matokeo ya form 4. Nikiwa nachat na dem wangu,akaniambia yupo home kwao kachill tu hana mishe.
Akaomba kuja home. Mazingira ya home tulikuwa wawili tu siku hiyo,mimi na bibi. Nkaona sio mbaya,nkamruhusu aje. Mida ya saa kumi alivyofika nkaenda kumpokea kituoni,tukashuka hadi home.
Kufika home nkamtumbulisha bibi kimasihara masihara (mabibi huwa hawamind). Baada ya utambulisho kwavile bibi alikuwa seblen anafuma fuma vitambaa vyake,nkaona kukaa na mtoto pale seblen jau so nikaingia nae chumbani kwangu (chumba changu kilikuwa cha ndani unapita seblen ndio unaingia chumbani kwangu).
Japo sikupanga kufanya chochote ila kitendo cha kuwepo chumbani wawili tukajikuta nshamaliza. Sasa mida ya saa kumi nambili dogo alikuwa anataka kusepa. Wakati anavaa mimi nikatoka room kwenda toi. Kupita seblen nakuta kaongezeka Shangazi,Babu na Baba. Nilipigwa na ganzi la hatari,nkasalimia alafu nkaenda toi (wote waliitikia kasoro Baba)
Kurudi nkapitiliza hadi room. Sasa jinsi ya kutoka na yule dem ndio ikawa issue. Ila mwisho wa siku ikabidi tutoke. Kufika seblen nkakuta kaongezeka Mama na mamkubwa. Tukasalimia alaf nikasema "namsindikiza mgeni". Aliitikia bibi tu,wengine waliuchuna.
Dingi alisema maneno machache tu "dakika 5 huwe usharudi hapa,tunakusubiri"
Wakuu hii siku isikieni tu hivi hivi,haisahauliki.
Bibi aliuza habari kwa wazazi.ahaaaa dah bib alikuchomesha nn?
Hahahaaah sipati picha.!Kwenye chumba cha generator.. Kabla cjakojoa umeme ukakatika basi kwa kuwa lilikua auto si likawaka bwana... Mashine yote ilisinyaa