Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila huu Uzi umenichekesha sana nacheka sana hapa mpaka mom ananiuliza navunga tu
 
Demu alikuwa na ngoma nn
 
Duuuh yaani wanaume mkiwa hapo cjui akili zenu zinakuwa wapi sishangai kuskia kuna watu wanagegedana juu ya kaburi wengine mpaka maiti hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mungu awasamehe
 
wenyeji wa mbalizi mbeya maeneo ya mlima reli kuna sehemu waita kaburi la bobu pale tulikuwa na rafiki wa demu wangu mida ya saa mbili usiku nikamuomba akanipa but nilikuja kustushwa na sauti ya mlinz wa relini almaarufu kolokoloni
Napajua sana niliwah kugegeda relin pale zinapoachana ile reli ya kuenda mliman usongwe
 
Si ndo hapo sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kana kwamba nimemwambia natafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Napoona mtu anasema "Njoo PM" bas huyo namuona mzushi.Maana yeye anaweza akamuibukia mtu PM kimyakimya bila kutangaza hapa.Qkikuta huko kuna [emoji357]ndo amwambie hapa uwanjani
 
mi ilikuwa ofisi flani tena mdada wa makamo, ilitokea baada ya kwenda kukojoa pembeni kumbe ye yuko juu ananitazama ile namaliza kukojoa naona mtu ananiita ghorofani.

akaja nichukua getini hadi ghorofani, mawazo yangu anaenda nifokea kukojoa nje naona mdada stori na maswali mengi sana mara mlango ukafungwa na kuanza romance mi full uoga

baada ya game ni kunipa namba na kuwa napiga mtanange siku moja moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Napoona mtu anasema "Njoo PM" bas huyo namuona mzushi.Maana yeye anaweza akamuibukia mtu PM kimyakimya bila kutangaza hapa.Qkikuta huko kuna [emoji357]ndo amwambie hapa uwanjani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wengine uelewa mdogo au ndo wanajitia kupapatikiwa
 
duh, nahis mpka leo makovu yapo na ukiyaangalia unacheka aisee
 
kipindi nimemaliza kidato cha sita kitaa nikaopoa binti mtt wa mchungaji yy alikua anafanya kaz kampuni flan ya sim
hm kwetu na yule binti wote tulikua karbu na shule ya primary basi tukawa tunameet kwa ajili ya kuongea ongea
mara kiss siku nyingne nikajikuta nimemto*"a pale pale
basi mazoea yakakomaa ikawa daily akitoka kazn mida ya saa moja lazma tukutane shule namkaza viwili vya nguvu then ndo anaenda kwao
na pale shule hua palikua na mlinz analinda mda mwingne polisi wanazungukaga kimya kimya wakikumata either sello au elfu 50 faini
lakn mzee mzma kipind hiko nimemaliza sikua na hela ya kwenda lodge tukawa tunakazana tu uwanjan daily na hatukuwah kukamatwa
 
Haa Haa Haa Haa haa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…