luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3.
Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe,
Kipindi Cha Mstaafu Makonda, alikuja na Kampeni za usafi lkn Bado hakufua dafu,
Naona RC Makala nae kaja na kampeni yake, nimesikia wakitamka Jiji la Kigali ...kabla ya kuitaja Kigali kamji kadogoooo Kama mitaa ya Temeke NI kheri wakajiuliza Moshi MC, Iringa MC wamefanikiwa vipi?
Niwatakie Kila la Kheri wana DSM ktk kujikomboa kutoka ktk limbi la Uchafuuuuu.