Mazingira magumu ya biashara Tanzania tuko sawa na Rwanda, nashauri twende DRC na Uganda wao wako vizuri

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Salaam kwenu,

Napenda kushauri wafanyabiashara kua Tanzania ya sasa inaua mitaji ya wafanyabiashara kodi sio rafiki ni kodi kubwa kuliko mitaji yenyewe nashauri watu wakawekeze Uganda au DRC au hata Malawi kwani huko unaweza kuokoa mtaji wako kuliko tz.
 
Mazingira ya Biashara tuko sawa na Rwanda? acha mazaha wewe kwa Africa Rwanda ni No 1 kwa mazingira ya mazuri ya kufanya biashara na pia ni ya kwanza kwa Africa mashariki na duniani nazani iko top 10
 
Salaam Kwenu.

Ivi unajua unachokiongea ama umeandika tu kujifurahisha?? Eti Tanzania kodi ni kubwa kuliko mtaji sasa hyo kodi inakatwa ama imepigwa kutokea wapi kama ni kubwa kuliko mtaji??

Acha bra bra piga kazi
 
Mazingira ya Biashara tuko sawa na Rwanda? acha mazaha wewe kwa Africa Rwanda ni No 1 kwa mazingira ya mazuri ya kufanya biashara na pia ni ya kwanza kwa Africa mashariki na duniani nazani iko top 10
Naomba hizo data kamili kama unazo
 
Back
Top Bottom