Jmandrea1974
New Member
- Jul 6, 2026
- 2
- 2
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano: Tunahitaji mvua Kwaajili ya kupata maji lkn hatuwezi kupata mvua salama Kwa wakati sahihi bila kuwa na mimea/miti mingi.
Kwahiyo Mazingira yakipewa uwakilishi maalumu Bungeni tutaweza kuwashirikisha watu wengi kwenye majimbo yote kupanda miti/mimea ambayo itatusaidia kuondo joto Kali (Global Warming), kupata Hewani safi, Mvua salama kwawati sahihi hapo tutaweza kuzalisha mazao Bora mengi ya chakula na biashara, Samaki watakuwa wengi baharini, kwenye mito na ziwani.
Uchumi/Kipato cha familia na Nchi kwaujumla kitaongezeka mara dufu.