Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
na mi ndo natimba izo pande afu sjui k2 so anayejua afunguke bandugu
kama unataka mazingra mazuru nenda udom
Nami naomba kudondoshewa data za AMUCTA na kama yupo anayeenda au aliyeko hapo,tujuane hapa.
Hapo ni full usabato.
Na pia mtashauriwa muwe wasabato.
Uongozi wa serikali ya wanafunzi upo kisabato na lazima uwe msabato