Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
Habari wadau. Naomba kufahamishwa mazingira ya chuo hiki cha Arusha university hasa malipo ya ada na michango na ulipaji wake kama ni kwa awamu ni % ngapi? ,lazima kukaa hostel? , chakula je unalipa pesa yake chuoni au unatumia pesa yako mfukoni. Je mahitaji muhimu ni nini. Usafiri hadi chuoni je?