Mazingira ya Tanzania yanatulazimisha vijana kuwa wajinga

Unamuweka mbali na Tv kwako ila kwa jirani na shule anaangalia adults contents
Ni kweli kwa sababu shuleni kuna TV kila darasa siku hizi na pia majirani wa siku hizi wanaacha nyumba wanawaachia watoto wao kanda za x watizame.
 
Ishi maisha yako mkuu. Dunia hii unanayoiona Leo imeelimika mara 100 zaidi ilivyokua miaka kumi nyuma . Just imagine ujinga uliokuwepo kipindi inchi hii inapata uhuru!

Don't take this life so serious.
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni kweli wajinga, mtu anashindwa kufikiri ama kujiuliza jambo ila anaamini tu tena kichwa kichwa kama mwanamke aliyezama kwenye penzi jipya na ndiyo maana Mze Mkapa alikuwa anatutukana. Angalia viongozi wetu walivyo waongo, wanadanganya hadharani huku wakishangiliwa na wajinga nao viongozi wanafurahi kuongoza wajinga. Hapa Tanzania ukiwa mkweli basi utasakamwa ili unyofolewe kucha bila ganzi na kwenda kutupwa msituni kwani viongozi hawataki mtu afungue macho wengine.
 
Ishi maisha yako mkuu. Dunia hii unanayoiona Leo imeelimika mara 100 zaidi ilivyokua miaka kumi nyuma . Just imagine ujinga uliokuwepo kipindi inchi hii inapata uhuru!

Don't take this life so serious.
Kweli watu wameelimika katika elimu watu wengi wanamiliki vyeti kuanzia astashahada, stashahada, shahada za uzamivu na uzamili ila matendo na tabia ni tofauti na elimu walizonazo vichwani.
 
Afadhali mi Nishazeeka,Haya matusi ya Nguoni sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…