lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Salama wakuu,
Ukiwa unaendesha gari na tena uko mwenyewe kwenye gari yako umevaa barakoa na vioo umefunga hivi inakubalika hii?
Barabarani unatembea tu hakuna mtu kulia, kushoto mbele wala nyuma yaani unatembea Ila ile barabarani isiyo na watu hakuna msongamano wowote umevaa barakoa hii nayo imeekaje? Wataamu hebu tujuzane.
Mimi huwa najitembelea tu nikifurahia uumbaji wa Mungu, nikikaribia kwenye daladala navaa,maeneo ya sokoni,hospitali,msibani na sehemu nyingine yoyote ya mkusanyiko navaa au ninakosea wakuu?
Barakoa wengine wanavaa wiki nzima haifuliwi hapo napo?