Burito nyanza
Senior Member
- Jan 2, 2021
- 135
- 115
Sijaona sababu ya kumtolea tusi kubwa kiasi hizo tujalibu kuwa wastaarabu jamani.... hivi mwenzio akivaa barakoa inakuathiri nini wewe? Mbona tunajaribu kujenga "hoja" za kipumbavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona sababu ya kumtolea tusi kubwa kiasi hizo tujalibu kuwa wastaarabu jamani.... hivi mwenzio akivaa barakoa inakuathiri nini wewe? Mbona tunajaribu kujenga "hoja" za kipumbavu?
.......yah mkuu ndo coz anaweza kupita mtu kapiga chafya xo lazma bakteria watabakMkuu umefunga mjadala.
,..,....labda hivi virusi vya COVID 19 $EASON 2 ....ila vile vyakwanza vilikua vina himili kuish hewan kwa mdaHakuna kitu kama hicho,haya mambo ya magonjwa hujibiwa kwa utafiti.
Kwamba hawa wadudu wanakaa hewani hiyo ilikuwa mwanzo kabla ya kubaini huyu mdudu vzr ila kwa sasa siyo kweli hata kidogo.
Jibu la pili kuwa tuvae barakoa sehemu gani kwa mleta mada ameshajijibu mwenye labda niongezee tu
Vaaa barakoa ,kwenye msongamano wa watu,hospitalini hasa hasa wd za i.c.u
Msogamano yaweza kuwa kanisani,sokoni,viwandani,na sehemu nyinginezo.
.......tupe ukweliHii sio kweli.
Unajua kwanini kuna ile 2m social distance?! Kwasababu mate mtu akiongea hayawezi kuruka zaidi ya m2. Virusi vinakaa kwenye mate na fluids Nyingine. Vinatoka kwae mgonjwa kwenda Kwa mtu mwingine Kwa njia ya mate au kamasi. Mate au kamasi haliwezi kuelea hewani, hudondoka chini ndani ya mita mbili........tupe ukweli
......HAPO NMEKUELEWA MZEE .....Unajua kwanini kuna ile 2m social distance?! Kwasababu mate mtu akiongea hayawezi kuruka zaidi ya m2. Virusi vinakaa kwenye mate na fluids Nyingine. Vinatoka kwae mgonjwa kwenda Kwa mtu mwingine Kwa njia ya mate au kamasi. Mate au kamasi haliwezi kuelea hewani, hudondoka chini ndani ya mita mbili.
Kama ingekuwa virus vinaelea tu hewani kila mtu asievaa barakoa angeumwa.
Barakoa ni muhimu zaidi Kwa mgonjwa asiambukize watu wengine, haina nguvu sana kwenye kujikinga. Kujikinga ni kuhakikisha unanawa mikono na sanitizer kila mara na kutojigusa hovyo maeneo ya usoni.
Kama huwezi kujiweka mbali na makundi vaa barakoa muda wote.