lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Mkuu umefunga mjadala.Virus vya covid hukaa hewan kwa mda mrefu mzee
Hii haina tofauti nakumshauri mtu avae condom mda wote hata kama hayupo eneo latukio.Vaa barakoa muda wote hata ukiwa kwa toilet
Hakuna kitu kama hicho,haya mambo ya magonjwa hujibiwa kwa utafiti.Virus vya covid .....hukaa hewan ....kwa mda mrefu mzee
Ona sasa unavyofananisha covid na ngoma, covid inaambukizwa kwa njia ya hewa na ngoma ni tofauti.Hii haina tofauti nakumshauri mtu avae condom mda wote hata Kama hayupo eneo latukio
Lazima kuhusianisha Mambo ili kupata Jambo sio tuwetunateseka namabarakoa utazani tunalipwaOna Sasa unavyofananisha covid na ngoma, covid inaambukizwa kwa njia Ya hewa na ngoma ni tofauti
Kwan unapotumia condom kama ulivyosema Hua kuna mtu anakulipa?Lazima kuhusianisha Mambo ili kupata Jambo sio tuwetunateseka namabarakoa utazani tunalipwa
Starehe gharamaKwan unapotumia condom kama ulivyosema Hua kuna mtu anakulipa?
Kwa hiyo starehe kwako ni muhimu kuliko afya yako eehStarehe gharama
Starehe Kwanza afya serikali isimamie kwasababu Mimi nimtaji waoKwa hiyo starehe kwako ni muhimu kuliko afya yako eeh
Sawa mkuu, endelea kujidanganya, ww ukiondoka wala hakuna hata mmoja ndani ya serekali atakae umia, wakao umia ni watu wanaokuhusu tu, wengine wataendelea kula bata kama kawa.Starehe Kwanza afya serikali isimamie kwasababu Mimi nimtaji wao
Shifa sio Mimi nitaifa Zima coroner inasamba kwa sekundeSawa mkuu , endelea kujidanganya , ww ukiondoka wala hakuna hata mmoja ndani Ya serekali atakae umia , wakao umia ni watu wanaokuhusu tu , wengine wataendelea kula bata kama kawa
Misibani, ni hatari sana!Hakuna kitu kama hicho,haya mambo ya magonjwa hujibiwa kwa utafiti.
Kwamba hawa wadudu wanakaa hewani hiyo ilikuwa mwanzo kabla ya kubaini huyu mdudu vzr ila kwa sasa siyo kweli hata kidogo.
Jibu la pili kuwa tuvae barakoa sehemu gani kwa mleta mada ameshajijibu mwenye labda niongezee tu
Vaaa barakoa ,kwenye msongamano wa watu,hospitalini hasa hasa wd za i.c.u
Msogamano yaweza kuwa kanisani,sokoni,viwandani,na sehemu nyinginezo.
Virus vya covid hukaa hewan kwa mda mrefu mzee.
Hii sio kweli.Mkuu umefunga mjadala.
Sababu kuu inayonifanya nionekane nimevaa barakoa hata kwenye gari ni kuepuka vaa/vua. Imagine unatoka sehemu a unaenda b unavua ukiwa kwenye gari, then unavaa ukifika,then unavua ukiwa kwenye gari then unavaa ukifika sehemu ingine.Salama wakuu,
Ukiwa unaendesha gari na tena uko mwenyewe kwenye gari yako umevaa barakoa na vioo umefunga hivi inakubalika hii?
Barabarani unatembea tu hakuna mtu kulia, kushoto mbele wala nyuma yaani unatembea Ila ile barabarani isiyo na watu hakuna msongamano wowote umevaa barakoa hii nayo imeekaje? Wataamu hebu tujuzane.
Mimi huwa najitembelea tu nikifurahia uumbaji wa Mungu, nikikaribia kwenye daladala navaa,maeneo ya sokoni,hospitali,msibani na sehemu nyingine yoyote ya mkusanyiko navaa au ninakosea wakuu?
Barakoa wengine wanavaa wiki nzima haifuliwi hapo napo?