Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa haa alikuwa anajibebisha ili azitafune vizuri fedha za ivan......yaani alikuwa anakaba hamuachii hata nafasi ya kutongoza .Oooh..basi sawa. Maana alivyokuwa anadeka kwa Marehemu nilifikiri ndio first born wake kwa mama mwingine mkuu. Asante kwa kunielewesha.
Tehe tehee teheee....Kama alikuwa hajanunua hata Passo ajiandae na karaha za kwenye karandinga (daladala). Maana sidhani Kama Zari atamuachia hata kuendesha zile baiskeli za watoto wa Marehemu.haa haa alikuwa anajibebisha ili azitafune vizuri fedha za ivan......yaani alikuwa anakaba hamuachii hata nafasi ya kutongoza .
ha ha ha yupo vizuri na yeye yule, halafu nasikia ni cousin wake sio rafikiTehe tehee teheee....Kama alikuwa hajanunua hata Passo ajiandae na karaha za kwenye karandinga (daladala). Maana sidhani Kama Zari atamuachia hata kuendesha zile baiskeli za watoto wa Marehemu.
Duh!Wazee wa kukuza mambo hamko nyuma
Hapo ajabu nini??
Pesa mapambo tu kama maua na marumaru
Et wangewapa maskini wajane na yatima mbona ninyi hamuziki ndugu na marafiki zenu na pesa na yet hamuwapi hao maskini??
Nakwanini wawape kwani wao walipewa?
Hahahaha..Ulimwengu una mambo mkuu.ha ha ha yupo vizuri na yeye yule, halafu nasikia ni cousin wake sio rafiki
Haifai kuzika marehemu na vitu vya thamani ili hali kaacha watoto, mke, wazazi, ndugu , majirani na makundi mengine yenye uhitaji ni kufuru na haifai. Kwani anaenda kununua nini huko kaburini? Kuna masoko au shopping moal huko kaburini, sema tunatofautiana kiasi cha ujinga wetu juu ya utajiri wao ila kwa hili wao ni wajinga. Pia Inaweza sababishia watu kuvunja kaburi na kuidhalilisha maiti wakifuata hizo mali.Wazee wa kukuza mambo hamko nyuma
Hapo ajabu nini??
Pesa mapambo tu kama maua na marumaru
Et wangewapa maskini wajane na yatima mbona ninyi hamuziki ndugu na marafiki zenu na pesa na yet hamuwapi hao maskini??
Nakwanini wawape kwani wao walipewa?
Haifai kuzika marehemu na vitu vya thamani ili hali kaacha watoto, mke, wazazi, ndugu , majirani na makundi mengine yenye uhitaji ni kufuru na haifai. Kwani anaenda kununua nini huko kaburini? Kuna masoko au shopping moal huko kaburini, sema tunatofautiana kiasi cha ujinga wetu juu ya utajiri wao ila kwa hili wao ni wajinga. Pia Inaweza sababishia watu kuvunja kaburi na kuidhalilisha maiti wakifuata hizo mali.
Muda wake umekwisha, vitu vyake kamaliza, vilivyobaki ni vya waliobaki sifa zingine ni kufuru maisha ya kujioneshaonesha tu kila kitu looo, Mungu msahehe Ivan wa watu huenda ingekuwa kwa hiari yake angewapa masikini kama kawaida yake, ni vile maiti haizungumzi tu
Elewa, pesa ni karatasi tu, it is worthless bila kile kitu inachokiwakilisha, lile karatasi ni mkataba baina yako na serikali, kwamba ukiwa na lile karatasi unakuwa guaranteed kupata bidhaa / huduma sawia na kiwango cha karatasi na thamani yake ulizonazo. Kwahiyo kama ameamua kuzikwa na mikataba yake aliyoingia na serikali(pesa) hii inamaana ameipa serikali unafuu kiasi kwamba inaweza kuchapisha noti zingine bila kusababisha inflation. Ni kama mtu alipie kodi nyumba mwaka mzima halafu aamue kutoishi, na kumpa ruhusa mwenye nyumba kuipangisha upya nyumba hiyo bila kumrudishia kodi yake. Hivyo ni kama amezikwa na makaratasi ya sh.100 tu which is nothing. Hivi nyie watu mtu mmeenda shule hata kidogo kweli?!Ni kumkufuru Mungu na kuukufuru ubinadamu kumzika mtu na fedha wakati katika jamii inayozunguka hilo kaburi kuna yatima, walemavu, wajane, wazee wasiojiweza, nk ambao hawana/hawapati mahitaji muhimu ya kibinadamu!!!
Zile karatasi alizozikwa nazo hazina thamani yeyote ile in the real sense, kwa kuzikwa na yale makaratasi ni kama ametoa mchango wake kwa jamii kwani amepunguza inflation na hivyo bei ya vitu itashuka, hata kama ni 0.00000000....01%. Tumia akili hata 1% tu na utaliona hiliHaifai kuzika marehemu na vitu vya thamani ili hali kaacha watoto, mke, wazazi, ndugu , majirani na makundi mengine yenye uhitaji ni kufuru na haifai. Kwani anaenda kununua nini huko kaburini? Kuna masoko au shopping moal huko kaburini, sema tunatofautiana kiasi cha ujinga wetu juu ya utajiri wao ila kwa hili wao ni wajinga. Pia Inaweza sababishia watu kuvunja kaburi na kuidhalilisha maiti wakifuata hizo mali.
Muda wake umekwisha, vitu vyake kamaliza, vilivyobaki ni vya waliobaki sifa zingine ni kufuru maisha ya kujioneshaonesha tu kila kitu looo, Mungu msahehe Ivan wa watu huenda ingekuwa kwa hiari yake angewapa masikini kama kawaida yake, ni vile maiti haizungumzi tu
Kuzika mtu na pesa ni uhujumu uchumi mithili ya kuchoma moto pesa kwa maksudi.Elewa, pesa ni karatasi tu, it is worthless bila kile kitu inachokiwakilisha, lile karatasi ni mkataba baina yako na serikali, kwamba ukiwa na lile karatasi unakuwa guaranteed kupata bidhaa / huduma sawia na kiwango cha karatasi na thamani yake ulizonazo. Kwahiyo kama ameamua kuzikwa na mikataba yake aliyoingia na serikali(pesa) hii inamaana ameipa serikali unafuu kiasi kwamba inaweza kuchapisha noti zingine bila kusababisha inflation. Ni kama mtu alipie kodi nyumba mwaka mzima halafu aamue kutoishi, na kumpa ruhusa mwenye nyumba kuipangisha upya nyumba hiyo bila kumrudishia kodi yake. Hivyo ni kama amezikwa na makaratasi ya sh.100 tu which is nothing. Hivi nyie watu mtu mmeenda shule hata kidogo kweli?!
Mkuu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.shida zenu mtazitatua wenyewe.acha watu watumie pwesaaa.Ni kumkufuru Mungu na kuukufuru ubinadamu kumzika mtu na fedha wakati katika jamii inayozunguka hilo kaburi kuna yatima, walemavu, wajane, wazee wasiojiweza, nk ambao hawana/hawapati mahitaji muhimu ya kibinadamu!!!
Kwenu mnazika watu na pesaHaifai kwako na kwenu!
hakuna cha muda ni hapohapo wasingetoka eneo la tukio.Kwa jins maisha yalivyo magumu hapa tz hela alizozikwa nazo Ivan the don zingechukua mda gan kaburin?