Mazishi ya clouds fm facebook page

Mazishi ya clouds fm facebook page

kipindi nilivyokua nasilikiza clouds ni michezo extra! lakini nilivyopata story ya Lady Jydee kufanyia mtima nyongo na hao jamaa nimetupilia mbali hata hako kakipindi kao. Kama sera yao ni kuwanyonya vijana wa kitanzania walioamua kujiajiri kwenye mziki, hawana faida kwa jamii bola wafie mbali kabla hawajaleta madhara zaidi.

Hizo redio zingine zenyewe Zinaisikiliza Clouds Wafanya kazi hadi Mifumo...... We inabidi usililize CD au vipindi vya dini tuu
 
Mwisho wa ubaya ni aibu ndo kinachowakuta clous sasa
 
Back
Top Bottom