Mzazi mwenzie kati ya watoto watano wa Janet,wale wawili wa mwisho ni wa mzee Mahiga. Modesta na Andrew.
Alikuwa na mke. Si unajua wakristo kwa michepuko. Kwenye ile last speech wamesema kaacha mjane na watoto kadhaa. Mwanaume akishasemwa kaacha watoto kadhaa ujue hapo.......Wakuu basi tuwe SPECIFIC PRICISE AND ACCURATE...
Mnachotaka kusema ni kwamba the deceased NEVER married.. NEVER had a wife!?
Na watoto wake hasa ni wapi. With legal rites..
Mama ndiye alimdhalilisha Traffic hivyo alipaswa awaombe watanzania msamaha kwa kutumia cheo cha mmewe vibaya kuvunja sheria za usalama barabarani na kudhalilisha traffic police .Muacheni mama wa watu amuuguze mtoto wake. Jiwe alivyomdhalilisha hadharani mbele ya trafiki na umma Unadhani atatoa wapi karej ya kuja kujumuika na wajumbe wake. Hadi le hajaombwa msamaha
Acha upotoshaji, Kenya marufuku kuingia, kutoka inawezekana.Wewe unaelazimisha aje kuzika, angekuja kupitia wapi, Kenya sio mamburula, walishafunga mipaka kitambo, umeng'ang'ania tu hamna excuse
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho.
UPDATE
Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mahiga amezikwa leo kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa.
Serikali iliwakilishwa na makamu wa Rais mama Samia Suluhu ambaye aliuelezea wasifu wa Balozi.
Bunge liliwakilishwa na Naibu Spika Dr Tulia Ackson ambaye baada ya kumuelezea Dr Mahiga alisema amekuja na rambirambi za wabunge lakini watazikabidhi kwa mke wa marehemu pindi atakaporejea kutoka Nairobi Kenya anakouguza mtoto.
Hata hivyo mwisho wa shughuli za mazishi Waziri wa Ardhi mh Lukuvi aliagiza DC Kasesela wa Iringa Mjini akabidhiwe michango yote ya rambirambi hadi aitunze hadi atakapopewa maelekezo rasmi na familia.
Hata sijui mkuu😅😅A tribe..
Kama hutojali ning'ate skio PM.
Mkuu huyu mama maarufutu mbona! Yuko bungeni nadhani bado .alikuanaibu waziri wa "feza" kipindi cha jk nadhanTunaweza pata picha hiyo ya Lady nanny Janeth.....!
Wakuu basi tuwe SPECIFIC PRICISE AND ACCURATE...
Mnachotaka kusema ni kwamba the deceased NEVER married.. NEVER had a wife!?
Na watoto wake hasa ni wapi. With legal rites..
Janet Mbene siyo mke wa ndoa. Huyu ni side dish alizaa naye watoto wawili au watatu kama sikosei. Wawili mmoja binti na kaka wako Marekani ambao ni wa Janeth. Vipi Janet msibani kaonekana? 😅😅😅😅😅
Ndiyo maana sipigi kura wala kulipa kodiAisee. Kwa hiyo wengine wanasafirishwa na kuzikwa kiheshima na wengine wanazikwa makaburi ya umma usiku. Mungu anawaona nakwambia. Tumaomba picha za kwenye msiba tuone ni serikali inazka au ni ndugu.
Kwa vyovyote na kwa kufuata taratibu isingekuwa rahisi kushiriki mazishi ya mumewe. Msafiri yeyote awe mtz au vinginevyo, akiingia nchini siku 14 za kalantine zinamhusu.Kumbuka hakuna ndege za international. MipKa imefungwa
Zinakosekana picha tu hapa..Hebu endeleeeni na mjadala mpaka nijue mzee alioa au alikua bachela. Na Je mzee alikua na michepuko wangapi.
Wala msinijibu lkn jwa mjadala huu nitaelewa tu. Maana wabongo hakuna msichojua
Kuweka picha kwani shng ngapi!!!?Mh Janeth mbene
Hhaha jus gugo bossKuweka picha kwani shng ngapi!!!?
ok..Hhaha jus gugo boss
Classes haziepukiki kwenye jamii,
Daahhh kama ni hivyo mpaka picha basi ndiyo maana Bimkubwa kaona heri auguze mtoto Kenya. Walizaa na Janeth ila ni kama alikuwa mke wa pili kama siyo wa kwanza kwa upande wake Jasusi. Ndoa hizi Bana.Unakumbuka 2015 ilisemekana mume anataka gombea urais? Mbona walipiga picha kama ya pamoja na huy mama? Bas nilikua ajua ndo anakaa naye...all in all amesitiriwa basi
Daahhh kama ni hivyo mpaka picha basi ndiyo maana Bimkubwa kaona heri auguze mtoto Kenya. Walizaa na Janeth ila ni kama alikuwa mke wa pili kama siyo wa kwanza kwa upande wake Jasusi. Ndoa hizi Bana.