Mazishi ya Kada wa CHADEMA Tanga. Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni ahudhuria

Ndugu zangu Watanzania,

Pichani waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Hamadi Masauni akishiriki katika Mazishi ya kada wa CHADEMA katika kumpumzisha katika Nyumba yake ya Milele.

poleni sana familia na chama cha CHADEMA na watu wote walioguswa na msiba huu nikiwepo mimi mwenyewe.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi na amuangazie Mwanga wa Milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…