Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Ruge kushoto na Shigongo kulia, kweli Kamati yao imechakachua fedha za msiba wa Kanumba?

Asha Baraka na Ubunge na bado anakimbilia pesa za kilio.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
MAJINA ya watu mashuhuri nchi hii, Erick James Shigongo na Rugemarila Ruge Mutahaba- wote wakiwa ni wadau wa tasniya ya Habari yako hatarini kuingia doa.

Kwa nini? Hiyo inatokana na kuwamo kwao kwenye Kamati ya mazishi ya mwigizaji Steven Charles Kanumba, ambayo imeingia kwenye kashfa ya kuchakachua michango ya msiba.

Baadhi ya vyombo vya habari nchini leo vimeripoti kuwa, habari kutoka ndani ya familia ya Kanumba, imeituhumu Kamati hiyo kufanya uchakachuaji wa michango hiyo inayokadiriwa kuwa mamilioni ya fedha, achilia mbali vitu kadhaa, yakiwemo magunia 32 ya mchele.

Kamati ya Mazishi ilikuwa inaundwa na Mwenyekiti Gabriel Mtitu, Makamu Mwenyekiti, Jacob Steven JB, Katibu, William Mtitu na Wajumbe Issa Mussa Cloud (Mweka Hazina), Kimosa, Vincent Kigosi Ray, Single Mtambalike Richie, Dilesh Solanki, Millenne Happiness Magesse, Adele Kanumba (dada wa marehemu), Hartman Mblinyi, Ruge, Ally Choky, Simon Mwakifamba, Eric Shigongo, Steve Nyerere, Mahsein Awadh Dk Cheni na Mama Nassor, mmiliki wa nyumba aliyokuwa akiishi Kanumba.

Je, ukweli ni upi. Ni matarajio sasa wahusika wataibuka kujibu tuhuma hizi, hasa ikizingatiwa Kamati iliundwa na watu watu wazito kama Eric Shigongo, mmiliki wa Global Publisher, Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media

Mkuu naomba jibu basi Asha Baraka ni mbunge wa jimbo gani?
 
Jamani mbona nyie msijitokeze? Kwanza kumpa SK front page kwenye Global hamuwekwi au tu clouds tv 30 second.hamtawekwa bila Mtitu Shigongo na Ruge Kanumba angeishia kwaya ya AIC Changombe
RIP. SK wasamehe wote lala kwa amani
 
masuperstar wameiba mchele wa kilio
katika vipi naona EL AIRLINE naona imeanza kusambaratika,mmeanza kupoteana,mmoja kaamua kujivua gamba na kujitosa baharini chadema huko arusha,wewe na mzee mtaelekea wapi?kwenye chama kipya cha hamad rashid au cck mkairushie ndege yenu huko
 
Kanumba alikuwa ni msanii na wanakamati ni wasanii na msiba umeendeshwa kisanii sanii, kwahiyo kwangu hakuna jipya la kushangaza!!
 
Mkuu naomba jibu basi Asha Baraka ni mbunge wa jimbo gani?

unataka na ww ukagombee nini ktk hilo jimbo 2015 !!! Sema kwa bahati mbaya asha baraka so mbunge na muandishi kapitiwa 2,
enewei vipi kuhusu babu seya na wanawe kwa sababa kimya sana. Lol..! Tulifanya sana makosa 'umuweka yule mtu wako muimba taarabu wa bagamoyo pale magogoni kwani jamaa ana bifu za fitina! Mwambie tumemmis babu seya aje atuburudishe huku kwani tuna machungu na fedha za kanumba mlizoiba alafu amsamehe tu kwani yy binafsi muimba taarabu kilichomsababusha mpaka akamuweka mwenza babu seya gerezani ni wivu 2 but i think wivu utakawa umeisha so amtoe 2.
 
Kamati imefanya kazi nzuri sana, kama mkeendelea kulinganisha na ulaya basi walistahili kupongezwa. Wabongo jadi yenu ni kukaa na kutegemea mambo yaende yenyewe. Mara zote ni serikali ndio iliweza kuendesha mazishi ya viongozi wake kwa gharama kubwa this time sekta binafsi imeonyesha sio tu CCM na serikali watu wanaweza piga kazi ya ukweli.

Mtu amekufa na ni shujaa wao wamempa heshima inayostahili na familia yake isingeweza kumzika vile kwani hakuna familia iliyofanya mazishi ya namna ya Kanumba. Magazeti bongo ndio yanatia ndimu kutafuta headlines. Kama pesa zilikusanywa kwa ajili ya mazishi then mazishi yamefanyika.
 
Kamati imefanya kazi nzuri sana, kama mkeendelea kulinganisha na ulaya basi walistahili kupongezwa. Wabongo jadi yenu ni kukaa na kutegemea mambo yaende yenyewe. Mara zote ni serikali ndio iliweza kuendesha mazishi ya viongozi wake kwa gharama kubwa this time sekta binafsi imeonyesha sio tu CCM na serikali watu wanaweza piga kazi ya ukweli.

Mtu amekufa na ni shujaa wao wamempa heshima inayostahili na familia yake isingeweza kumzika vile kwani hakuna familia iliyofanya mazishi ya namna ya Kanumba. Magazeti bongo ndio yanatia ndimu kutafuta headlines. Kama pesa zilikusanywa kwa ajili ya mazishi then mazishi yamefanyika.

Naona unanukia kama Shigongo, mmeshazoea kuandika udaku wa habari za wenzenu sasa ngoja tuwakomeshe wezi wakubwa nyinyi, nawasiliana na JF Admin ili hii thread iwe sticky hapa mpaka mshike adabu zenu.
 
Hao ndiyo wasanii wa Bongo. Kama EPA vile! Ama kweli nchi hii inakwenda motoni. Tukiwakandia kuwa ni vibaka na makapuku wapenda sifa tunaonekana tuna wivu. Kimsingi mazishi ya Kanumba na hata ukubwa wa maombelezo havikufanywa kwa vile alikuwa akipendwa au alikuwa mashuhuri bali usanii wa kutafuta sifa na ulaji. Hata viongozi waliojitokeza kwa wingi walikuwa wakikimbia aibu zao kule Arumeru Mashariki. Mjue watanzania walivyo wa hovyo na wezi matapeli na wasanii wa ajabu. Na hii ndiyo maana tumeshindwa kujikomboa kwa kuwaadhibu watawala wetu wezi kwa vile sote tu wezi.
 
Mbona hawakurusha moja kwa moja msiba wa mzee kipara.....clouds wezi sana....wanafata kwenye maslahi tu..!!! Kwanza matangazo ya tv live hawawezi.....ili boa kishenzy siku ile...!!!
 
walifanya la maana sana kumtimua ndugu angewasumbua kama anaanza kueneza uongo hata wakati hakuwepo je angekuwepo?

hata mimi nilikuwepo na niklishuhudia wasanii wakitaka funguo za magari ya kanumba sijui ili nini, labda walitaka wakapunguze petroli kwenye hizo gari na pia walitaka funguo za ofisini kwake, huwezijua labda wangekwenda kuipa copy za filamu zake! nashukuru yule ndugu kwa msimamo wake aliwanyima funguo na alipoona wana mambo ya kisanii akajitoa
 
Wewe mnyama hatari naona imekuuma sana nadhani kwa vile unahusika kwa karibu. kama mnataka mafanikio jaribuni kuwa socially responsible theory zinapendekeza hivyo. ogopeni kujinufaisha bila kuwa responsible. unapobisha kwamba media hainufaikh kwa kucover event ya kiwango kile nakushangaa. hii ni changamoto kwa serikali kujua jinsi gani watahakikisha wezi hawaendei kuiba. pale clouds mme capitalize kwenye umbumbu wa familia ya marehemu. i am sure nimewafumbua macho next time mtakuwa waangalifu. mbona hamkwenda kwa marehemu kyaro!
 
Mbona hawakurusha moja kwa moja msiba wa mzee kipara.....clouds wezi sana....wanafata kwenye maslahi tu..!!! Kwanza matangazo ya tv live hawawezi.....ili boa kishenzy siku ile...!!!

si ndio hapo. hata msiba wa baba yake mkurugenzi wao. nakwambia for sure kama familia ikichangamka clouds lazima walipe!
 
there is no free lunch under the sun na siku zote mawingu haifanyikazi za kanisa endeleeni kula hela za wasanii mpaka pale watakapo kubali kuwa kitu kimoja na sasa hivi tunataka birthday nyingine ya mkuu wa kaya..
 
Kanumba alikuwa ni msanii na wanakamati ni wasanii na msiba umeendeshwa kisanii sanii, kwahiyo kwangu hakuna jipya la kushangaza!!

najua hii nchi ilishauzwa kitambo! ila kipande changu walichouza pale makongo juu, bado sijapata malipo yangu mpaka leo! sijui namdai nani na natakiwa kuondoka asubuhi hii, nahamia chad! nimepata eneo baharini! kaazi kwelkwel(in amina chifupas voice! RIP rafiki)
 
Mi sina tatizo ku air huo msiba ingawa its clear you earn some money out of it in whtever manner. Kinachonisikitisha ni kitendo cha ku monopolise ule msiba kana kwamba ni WENU. Sina uhakika kama mliongea na familia kuwapeni go ahead au u just conviced them. Mmen'gan'ganiza mpaka marehemu mmemzika dar. Kwanini hamkuachia familia iamue? Why???? Wana jf wala tusiwe na pressure kila kitu kitakuwa wazi
 
kila msiba una mwenyewe kwa kanumba wenyewe walijiweka pembeni na matokeo yake ndio hayo kamati ilimghilibu mama mzazi wa kanumba naye bila kujua akaungana nao na mama akasahau kuwa mazishi ni suala la kifamili namarafiki jirani na wengine wote wanashiriki msiba kwa kuwafariji wafiwa yako mambo mengi tu yakujifunza kutokana nahili hata pale wazazi wanapotengane bado kuna mambo yanaendelea kuwaweka pamoja hilo tukumbuke ili tusiwape wajanja nafasi ya kutuharibia yanayotuhusu
 
Back
Top Bottom