Mazishi ya msanii Nipsey Hussle

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546

Muda huu mwili upo katika ukumbi wa staples center Los Angeles, ambapo viongozi ndugu jamaa na marafiki wanatoa speech kuhusu maisha ya nipsey kw ujumla.

hapo chini ni ramani inayoonyesha mahali mwili wa marehemu nipsey hussle utapopita kutoka ukumbini, mtaani/nyumbani, dukani kwake hadi makaburini

R.I.P Nipsey. The Marathon continues!!!

 
Envy is a very bad thing especially when it gets to personal levels....Rest In Peace G.......


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Obama in Raisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo!
 
hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo!

Nipsey amefariki wiki 3 nyuma?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua hamna namna, jamaa aliye muua Nipsey ilikua lazima amuue tu. Kwenye Gangstar life hakuna kitu kibaya kama kuitwa snitch, nano atakuamini? Nipsey alimuita mwana snitch hadharani, mwana akajua ndo basi tena credibility yake crips ndo imekwisha, lazima wana wataanza kuniangalia kwa jicho tofauti na mwisho ni kifo. Akaona namwai mimi, that gangstar life, RIP King Nipsey.
 
Mbna taarifa za wana zinadai jamaa kauliwa na white house...na pia camera iliyorekod tukio ni ya nyumba jiran ndo inayotrend sana mtandaoni...duka la jamaa limejaa kamera lakn hazjatumika kuonesha tukio na zlikuwa very close sana kias cha kuweza kunasa tukio zima kwa usahihi....inavyoonekana zilifanyiwa uhuni
 

shitty cuz alikuwa gang moja na nipsey?
 

Bro acha waongee tu, kuna wana ni wanaharakati (pro black & religious) Nipsey alikua hawafikii lakini hiyo state house haina time nao kiviiile. Nipsey alikua crips na mwana kamuua kweli kutokana na michongo yao. Sema mwana kavuta ndo maana tumetoa macho angekua kasavaivu wala isingekua ishu.
 
Nipsey alishatimiza miapango ya mungu hope LAPD hawatayachukulia poa makundi ya kiharifu (Gangs)
 
The Marathon Continues...
 
ivi ni kkwann wanamuzik wa kimarekani lazima wawe mawakala wa makundi ya uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…