Mazishi ya Mtei: Samia alijua atakula vitasa vya Chadema akakacha kuhudhuria?!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya.

Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
 
Da Mwigulu simpeendi ila kwa vitasa vya jana nampa pole kama binadamu
 
Msiba wa mzee msuya alienda?!..ni lazima rais aende kila msiba wa aliyekua mtumishi wa umma ngazi za juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…