Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mazishi ya mtu hai kishirikina

Hapana haujaongea
Labda ni lugha tu niliyotumia, lakini nimeandika hivi

Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai.. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana... Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako! Unapizikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona!
 
Spooky!!Mkuu tuelezee na hizo namba pendwa kwenye mambo ya kiimani hususan 3,7 na 40.

Ila ishu ya kuacha alama nahisi ipo kama kuna DNA,digital footprints, basi hata spiritual footprint hasa kwenye picha.

Ule uzi wako wa picha katika ulimwengu wa kiroho ni fikirishi sana.
 
mtegemee Mungu kwa kila jambo.........hii dunia sio mahali salama kabisa....kuna mama wakati naishi sinza.... aliitusumbua sana na mambo ya kishirikina...alishandei by now..........ila hakufanikiwa japo alitusumbua sana.....aliweza sana sbb mwanae alikuwa na urafiki na wife....so sijui kucha nywele nahisi alizipata kiurahisi......Mungu hashindwi aiseee.....na ukiwa muoga utahama kila mtaa....
 
Chini ya kapeti mtaani story zilikua zinazagaa jirani kamtoa kafara mmewe lakin baada ya kusoma ili bandiko imebid niamin alifanya kweli aiwezekan mmewe afarik ata arubain bado akachinja mbuz kimya kimya na hakua na destur ata ya kuchinja tuwe makini na izi nyama za upande wa pili tunazojiunga nazo kufanya mwili mmoja
 
Spooky!!Mkuu tuelezee na hizo namba pendwa kwenye mambo ya kiimani hususan 3,7 na 40.

Ila ishu ya kuacha alama nahisi ipo kama kuna DNA,digital footprints, basi hata spiritual footprint hasa kwenye picha.

Ule uzi wako wa picha katika ulimwengu wa kiroho ni fikirishi sana.
 
Mshana Jr hii inamaana gan
Screenshot_20210329-040729.jpg
 
binadam hawana jema, wengi wanaoishi vyema na watu ndo yanawakuta haya mkuu, utasikia fulani anajifanya mwema sana ngoja tumkomeshe, ushauri wako naona kama hausaidii kitu.
[emoji2][emoji23][emoji23]...
Wanasema anajifanya mwema,alafu makombora yaanza...
DUNIA HII ACHA KABISA..nimepitia mengi sana
 
binadam hawana jema, wengi wanaoishi vyema na watu ndo yanawakuta haya mkuu, utasikia fulani anajifanya mwema sana ngoja tumkomeshe, ushauri wako naona kama hausaidii kitu.
Bado haipaswi kuupuuza si kila auguaye maralia huponywa na mseto
 
Unachukua mume/mke wa mtu halafu mwenye mali anaamua kukuachia ila unazikwa hai kishirikina,,unaiba uchaguzi watu wanafanya mazishi,una tapeli watu wao wanaamua kukufanyia mazishi. Tuishi kwa wema na ibada nyingi sana.
 
Back
Top Bottom