Mazishi ya mwanamuziki General Defao yafanyika DR Congo

Kabila alimtimua Defao alirudi Congo baada ya kabila kupigwa chini
 
Family Kikuta
 
hahahaha nimemkumbuka Mzee mmoja miaka fulani alitajwa tajwa kama mtu wake wa karibu.... aliistafishwa na Bwana Che Nkapa kwa manufaa ya umma..
 
Dola 260 = Tsh 598,000. Amekufa kwenye umasikini wa kutisha.
 
Hamnaaa baaanaaa. Ndio nani huyu? Nataka maelezo ya kina umri, familia, jinsia haya yote Lazima nijulishwe.

Sauh'waaah?!
Kama unauliza ndio nani rudi usome tena ila kama unataka historia yake basi Subiri inakuja.

Lakini kabla jua machache haya
Francoise Lulendo Matumona a.k.a General Defao aliyezaliwa Kinshasa mnamo Disemba 31, 1958, alianza kuimba mwaka wa 1978 kama sehemu ya Orchester Suka Movema.
Mwimbaji huyo wa Sala Noki atakumbukwa sana kwa sauti yake nzuri na miondoko ya dansi ya ambayo ilivutia wengi.
 
Kwa hiyo pesa alikua anahonga na kujichubua tu?
 
Inakuwaje hajaacha mtoto? Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Wakongomani wenzake walioimba muziki wa Soukouss miaka ile ya tisini.

Ilikuwa ni raha tupu! Kuanzia yeye mwenyewe Jenerali Defao, Pepe Kalle, Aurlus Mabele, Bozi Boziana, Yondo Sister, Wenge Musica, Extra Musica, Allain Koukou, na wengineo wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…