Mazishi ya mwanamuziki General Defao yafanyika DR Congo

Bora alivyokufa bila kuacha mtoto, we fikiria babaako mtu maarufu kama Defao anakufa anakuachia urithi dola 260. Sijui msingi wa mitumba? Mweh!
 
Bora alivyokufa bila kuacha mtoto, we fikiria babaako mtu maarufu kama Defao anakufa anakuachia urithi dola 260. Sijui msingi wa mitumba? Mweh!
Huenda kisa hakuwa na mtoto ndio chanzo cha kutotunza mali maana hana mrithi
 
RIP Legendary. Nakumbuka miaka ya 1990s alikuja TZ halafu baada ya show host wakamtelekeza.akahifadhiwa na jimama flani Mtoni Kwa Aziz Ally. Nahisi hapo ndipo alipozoa virusi. Ila ka-survive kitambo
[emoji1787]
 
Hivi yule aliyekuwa mkurugenzi wa shirika moja la umma hakwenda kumzika Defao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…