Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
mnatandikana makwenzi live sio? Mi nangoja August!Protokali za nchi ipi, Kenya au Tanzania? Ila kama unamaanisha kwamba rais alifaa 'kuingia' baada ya naibu wake basi hujakosea. Hapo ndio ushawishi wa Raila na uswahiba wake pia na rais Uhuru umetufikisha. Tinga siku hizi anazindua hadi miradi ya serikali na bado yeye tu ndio kiongozi rasmi wa upinzani. Usituulize sana kuhusu protokali jombaa, hata sisi wakenya pia inatukanganya sana.