Ndio hoja hii sasa, ila sio Dhambi kujengea.Binafsi huwa siafiki ujenzi wa kaburi kulijengea, watu wote tukijengea kaburi ni kumaliza nafasi. Unless labda ule ujenzi kama wa wazungu..ila huu wa kikawaida unakula nafasi na kuwanyima wengine nafasi ya kuzika.
Wewe ni muongo!Sema ndio hivyo kwasababu ni mtu mkubwa bila shaka amefanyiwa vipimo vyote na kuhakikisha amekufa kweli
Ila huku kimtaa mtaa ukazimia masaa matano usitingishike utajikuta chafya imekubana ukiwa ndani ya kaburi
sisi kuna mambo ni lazima yafanyike kwa haraka sana yanapotokeaAisee hadi kwa huyu mkubwa naye wamemuharakisha hivi?
Lakini madam kwenye kuharakisha kuzika hauoni wakati mwingine tunawazika waliozimia? Kwanini basi isiwe vema kujiridhisha kwanza kupitia wataalam wa afya? Maoni yangusisi kuna mambo ni lazima yafanyike kwa haraka sana yanapotokea
ndoa
kifo
mwenye kuslim
ukiona had mtu anazikwa hivo ujue walishathibitisha amefarikiLakini madam kwenye kuharakisha kuzika hauoni wakati mwingine tunawazika waliozimia? Kwanini basi isiwe vema kujiridhisha kwanza kupitia wataalam wa afya? Maoni yangu
Ni ngumu kukuelewa hao athari za utumwa zimewakaa sawasawa hadi wanakera sisi kwetu mbona wapo wanaozikwa bila sanduku tena kumstiri ni kumzungushia mikeka na udongo unafuata.wema na ubaya wako vinahusiana vipi na uzikaji mbele za MUNGU?Taratibu za mazishi ni suala la kitamaduni, kila tamaduni zina mifumo yao tofauti na jamii nyingine. Hata sisi waafrika ondoa tamaduni za hao waliotuletea dini na sisi kwa umaandazi wetu tumeacha ile mifumo ya makabila na koo zetu tunaiga koo za waarabu na wazungu. Mazishi hayakufikishi/ kutokufikisha mbinguni kama uliishi kwa matendo mema wewe ni wa.mbinguni tuu bila kujali umezikwa kichwa kinaangalia wapi au uliliwa na mamba. Kama ulikuwa ni mmoja wa wauaji kama wale waliomchoma moto binti wa watu huko Nigeria wewe ni wa motoni tuu bila kujali umezikwa vipi
Vipi na wale wanaoumia na kuuawa wakati wa kumpiga sheitwani na mawe?kumbe sheitwani inawezakana kumpiga jiwe?!Pale uwanjani wakati wa Kuaga, kuna familia ilipoteza wapendwa wao 4 sababu ya kukanyagana pasipo sababu, eti kisa kuaga Maiti .
Mambo ya ajabu sana,unatoka huko kwako mzuka kibao eti unawahi kuaga maiti ,matokeo yake na wewe unakuwa maiti.
Si huwa mnasema Yesu alikuwa mwislam, haya tuambie mazishi yake, kaburi lake ni sawa hiki kituko?Sio UTAMADUNI ni SHERIA ZA DINI YA KIISLAM.
Utamaduni wa eneo moja lazima utofautiane na wa eneo jingine. Huko Uarabuni kuna nchi kibao na ziko mbalimbali si Rahisi kufanana Tamaduni ikiwa hapa TZ tu hatufanani tamaduni baina ya makabila.
Brother, usitake tufuate desturi ulizoamua weweHizi habari umezipata wapi ? Kujengea ni dhambi na ukifanya hivyo ni madhambi kinachotakiwa kufanywa ni kuweka alama ambayo ndugu au jamaa akienda muda wowote anajua ndugu yao alizikwa wapi.
Na nukuu :
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kaburi kutiwa chokaa (liwe imara), kuketiwa juu yake na kujengewa. [Muslim]
Kutokana na Hadithi hii, swahaba Ali bin Abi Twalib kipindi cha utawala alipata habari kuna sehemu watu wanajengea makaburi, akatuma mtu au watu na kuwaamuru wakikuta kaburi lolote limeinuka kwa kujengewa basi wavunje hichi kilichojengwa.
Sasa unaposema inafaa kujengewa unatumia mafundisho ya nani katika Uislamu ?
Mambo hayo badala ya kufanywa na matajiri kama Huyu yanafanywa na masikini!Mbona hawajampeleka makao makuu ya nchi, mbona hawajampeleka visiwani, mbona hawajampeleka mji alizaliwa, mbona hajapigiwa mizinga21? Africa tuna mbwembwe sana
Kumuua mtu aliemtukana mtume na Allah ni Sheria katika uislam hata kama atatubia so atujal kafir kama wewe unabwekajeTaratibu za mazishi ni suala la kitamaduni, kila tamaduni zina mifumo yao tofauti na jamii nyingine. Hata sisi waafrika ondoa tamaduni za hao waliotuletea dini na sisi kwa umaandazi wetu tumeacha ile mifumo ya makabila na koo zetu tunaiga koo za waarabu na wazungu. Mazishi hayakufikishi/ kutokufikisha mbinguni kama uliishi kwa matendo mema wewe ni wa.mbinguni tuu bila kujali umezikwa kichwa kinaangalia wapi au uliliwa na mamba. Kama ulikuwa ni mmoja wa wauaji kama wale waliomchoma moto binti wa watu huko Nigeria wewe ni wa motoni tuu bila kujali umezikwa vipi
Kila din na tamaduni zake usifosi tufanane, coz huwezi kubadilisha kitu ndivyo ilivyo miaka na miaka hivyo tuMbona hawajampeleka makao makuu ya nchi, mbona hawajampeleka visiwani, mbona hawajampeleka mji alizaliwa, mbona hajapigiwa mizinga21? Africa tuna mbwembwe sana
Na sisi wakristo utamaduni wetu ni kusubiri ndugu na kuaga na kuzika kwahiyo hatufanani kila mtu afate chake tuSio TAMADUNI bali SHERIA ZA DINI YA KIISLAM, DUNIA NZIMA, AU UKIFA USICHELEWESHWE KUZIKWA, LABDA ITOKEE DHARULA.
Acha kuongea kwa jazba wewe kuataili ni utamaduni wa kikristo , na suti na magauni ni utamaduni wetu mtuache nyie wenu mikanzu na nikab au hijab mbona tunagombaniana suti zetu tena??!! Tena hata harusi zenu siku hizi eti nanyie mnavaa suti??!!fateni tamaduni zenu hata jeans tu sio utamaduni wenu😂😂🤣🤣Nyie mambwa mmeiga kuvaa masuti kutoka kwa mungu wa italy
Kuvaa vipensi kanisani
Kulewa kanisani
Hamtawazi vizuri mkokojoa hasa wanawake papa zao ninanuka kama mzoga
Uzungu mwingi kama yesu alikuwa mzungu
Angalia viongozi wenu wanavaa kama kanzu na wal masister wanajistiri mpaka vichwa ila nyie mambwa sijui makondoo mnavyotwa hamjielewi dini ya uislamu 90% inaendana na. Tamaduni za kiafrika
Hata magovi bila uislamu usingekuwa mnatahiriwa kama wazungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema ndio hivyo kwasababu ni mtu mkubwa bila shaka amefanyiwa vipimo vyote na kuhakikisha amekufa kweli
Ila huku kimtaa mtaa ukazimia masaa matano usitingishike utajikuta chafya imekubana ukiwa ndani ya kaburi
Kwani mtu aliyekufa huwa anasema amechoka apumizishwe haraka.?
Nadhani hizi ni tamaduni za jamii husika.
Kuna makabila mtu akifa wanamzika baada ya muda wanaenda kufukua mifupa na kuiweka majumbani mwao.
Hao nao vipi marehemu alisema wamfukue kachoka kukaa kaburini?
Tumia akili.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app