Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Kikwete anaona bora aende msiba wa Kanumba kuliko wa Sheikh!Innalillah Wain illah Rajiun
Unalinganisha kiongozi wa dini na msanii
Asante Allah kwa kumuwahisha huyu jamaa. Mkirimie wale mabikira 72 wenye macho kama vikombe ahangaike nao. Sisi huku bongo alishatuchosha kwa chuki zake
who knows may be ndo waliokuwa nyuma yake enzi zakenaam maalim naye alikuwepo ... hata prof lipumba nae alikuwepo
Wote ni binadamu wameumbwa na Mungu. Una uhakika huyo sheikh wako alikuwa mwadilifu kias gani mbele za Mungu wake?
Kweli. MkuuLakini JK si muisilam mwenzenu??? Imekuaje tena, au mfumo christo...
ishaalah mwnyz mungu atamlipa kwa yote mema alioyoyfnya ktk kuipigania nia dini ya Haki
Basi haifai wanafiki wa ccm kuchagua misiba ya kuhudhuria
hakuwa shehe bali ga..idi
Lakini JK si muisilam mwenzenu??? Imekuaje tena, au mfumo christo...