Mazishi ya Ustadh Ilunga katika picha

Mazishi ya Ustadh Ilunga katika picha


[/FONT][/COLOR][/CENTER]
Mazishi yake yameweka historia baada ya maelfu ya waislamu kujitokeza kushiriki kwao, hali iliyopelekea mchanga wa kaburi lake kufukiwa kwa mikono badala ya kutumia mapauro na majembe kama ilivyozoeleka.

Masheikh kutoka Mikoa mbali mbali ya Tanzania wameshiriki mazishi hayo akiwemo sheikh Kishki.



HII NI ANGALIZO KWA NDUGU ZANGU WA MWANZA WA THAQAFA WALIOKUWA NA BIFU NA SHEIKH ILUNGA. MLIMDHARAU NA MKAMDHALILISHA ANGALIENI ALIVYOTUKUZWA NA ALLAH!!!!
 
Asante Allah kwa kumuwahisha huyu jamaa. Mkirimie wale mabikira 72 wenye macho kama vikombe ahangaike nao. Sisi huku bongo alishatuchosha kwa chuki zake
 
Kufa kwa kila mwanaAdamu ni haki... acheni fitina !! "al-mauti haka" Leo marehemu hatujui kesho nani atatangulia !!?
 
Wote ni binadamu wameumbwa na Mungu. Una uhakika huyo sheikh wako alikuwa mwadilifu kias gani mbele za Mungu wake?

Basi haifai wanafiki wa ccm kuchagua misiba ya kuhudhuria
 
Lkni tuache utani mkulu alitakiwa audhurie mazishi ya muislam mwenzake km alifika ubungo kwa ngurumo itakua Magomeni hapa au hayupo kasafiri?
 
InshaAllah mwenyezi Mungu atamlipa kwa yote mema alioyoyfnya ktk kuipigania nia dini ya Haki
 
Hakika mwenyezimungu atamjaalia firdaus shekhe ilunga
 
Lakini JK si muisilam mwenzenu??? Imekuaje tena, au mfumo christo...

Umesahau kwamba JK kaingizwa madarakani na mfumo katoliki?

REJEA HII:

"KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU" (wa wakatoliki off course)!
 
Back
Top Bottom