Maziwa aina ya nursoy

Maziwa aina ya nursoy

Bizzly

Member
Joined
May 3, 2010
Posts
79
Reaction score
24
Wana JF naombeni mnijuze ni wapi hapo DSM naweza kupata maziwa haya kwa ajili watoto.

Nikipata wanapouza ya jumla itakuwa vizuri zaidi. asanteni kwa ushirikiano
 
Ninachokumbuka mimi hayo maziwa yalishazuiliwa na watu wa tfda kutumia kwa ajili ya watoto
 
Back
Top Bottom