Maziwa kujaa, wanawake linawahusu hili

Wanawake ndio watu mnaoshinda sana jikoni.... Pale unapochemsha maziwa jikoni ni kwanini yakianza kuchemka huwa yanajaa hadi juu ya sufuria.... Mbona ukichemsha chai huwa haijai kama maziwa...
Nilikuwa nishawaza mbalii kabisa duuu hizi akili nyengne bnh
 
Mwanamke ananiambia maziwa yake yalikuwa yanauma yamevimba nikajuwa hapo tayari kumbe hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…