Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Nilikuwa nishawaza mbalii kabisa duuu hizi akili nyengne bnhWanawake ndio watu mnaoshinda sana jikoni.... Pale unapochemsha maziwa jikoni ni kwanini yakianza kuchemka huwa yanajaa hadi juu ya sufuria.... Mbona ukichemsha chai huwa haijai kama maziwa...