Maziwa kurudia hali yake baada ya kunyonyesha inawezekana?

Babycute

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
81
Reaction score
16
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?
 
Hayawi kama mwanzo yatalegea…hakuna njia ya kupunguza matiti kuwa madogo zaidi ya plastic surgery...
 
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?

Nina dawa babycute.ni pm .mtoto bado ananyonya? Dawa sio ya kumeza ni ya kuingizia.
 
Anaingiza wapi hiyo dawa mkuu....anaopgopa matiti yake yamekuwa ndala na anahisi uzuri na mvuto umepotea. Mimi naona hii inategemea na mwili wa mwanamke, kuna wanaonyenyesha bado yabaki kuwa kwenye shape nzuri.

Sasa mkuu hiyo ni siri yangu najua pakumwingizia ila huwa natumia kiungo changu kuingiza dawa,hakuna madhara,ni starehe tu huku dawa ikiingizwa.
 
yawe madogo ili nini?
We mpe toto chakula yake achana na hizo makitu... angrrrrrrrrrrr!
 
Kweli dunia imekwisha ndo maana wengine huwaga hawanyonyeshi kisa maziwa yatadondoka
heiii inabidi tufanye darasa upya la kuwafunda mabinti hapa mjengoni maana naona kuna upotevu fulani
 
teh teh teh....aya.... unamuingiza nini, na unaingizia wapi?

Mkuu sasa hiyo ni siri ya ofisi.ila nawaingizia dawa na kiungo changu maalum,inakuwa ni raha tuuuu mpaka maziwa yanasimama tena saa 6.
 
Hakuna dawa labda ufanyiwe surgery...
 
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?

Ipo ndipnkuna lotion unapaka haina madhara mi ninayo na nina mtu aliyetumia pia....nitafute 0758 513 593
 
Back
Top Bottom