maziwa madogo (matiti)

Yap,am back, what's ur comment on the topic? How did u do to enlarge yours? Plse, help your mate.
ukishakuwa mama yanakuja tu yenyewe na saiz uliyojaliwa utakuja kuua watoto bure kwa kupaka mchina au makansa bure
 
Nitafute nikupe njia simple ya kuyapuliza yanaongezeka na kuwa makubwa
 
Mimi nina matiti madogo na nayapenda sana. Nina watoto wawili lakini nalazimika kuvaa sidiria tu kwa kuwa watu wanasema nawachokoza; lakini hata size nayotumia ni ya 'my first bra'.

Jipende dada na watu watakupenda.
 
my dia pole kwa tatizo
lako,njoo kwetu huku bukoba kuna wadudu wanapatikana mtoni ukiwaweka
kwenye matiti wakikuuma tu basi linakuwa kuubwa na tatizo lako litakuwa
limetatulika kama vipi ni pm ntakupa maelezo zaizi...

100% sure huyu mdudu anaitwa ENYOGOLOIZI
 
Mbona wanawake hamridhiki na maumbile niliyopewa na Mungu jamani badilikeni dada zangu mtajuta baadaye.
 
nimeusoma labda akijifungua ndo yataongezeka ila kwa sasa hamna kitu kwa kweli........au kwa sababu ana tumbo kubwa ndo mana maziwa yanaonekana yapo hivyohivyo?

Yataongezeka, kwani anachukiza nini? Mbona wanaume wengi hawapendi nido hivyo ndivyo safi hata upande wa mavazi anakuwa vizuri(anapendeza) au we unamwonaje?
 
Yataongezeka, kwani anachukiza nini? Mbona wanaume wengi hawapendi nido hivyo ndivyo safi hata upande wa mavazi anakuwa vizuri(anapendeza) au we unamwonaje?
wala hachukizi maziwa yake yameendana na mwili wake..............ila mlivyosema akiwa na mimba yanaongezeka ndo hapo utata ulipoanzia.
 
ushauri wangu rizika na ulichonacho, ukipata hayo makubwa yatasaidia nini? (VIPI UMEPATA TENDA YA SUPPLY YA MAZIWA?) kama unaweza pata mtu aliyenayo hayo makubwa na umri umepita atakuelewesha zaidi

Rizika na hako kadogo ndio uzuri wako
 
Tangu niliposoma post yako kwa yule kijana mwenye Masterz na hana kazi niligundua kwamba wewe ni great thinker na hazina kubwa kwa Taifa. Kwanini JK hawatumii watu kama hawa kwa ushauri na badala yake amewang'ang'ania kina Dr Ndumbaro na Mwinyimvua mpaka anashindwa kuhutubia mwisho wa mwezi? Ubarikiwe sana Mkuu
 
OOOOOh my dear how old are you?
 
Hayo ndiyo maumbile yako ya asili, unachotakiwa ni kukubaliana na hali uliyokuwa nayo na mpenzi wako pia akubaliane nayo.
Faida kubwa ni vigumu sana kulala kama kandambili pindi utakapojifungua watoto hapo utakapobarikiwa kuwapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…