Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:focus:
ukishakuwa mama yanakuja tu yenyewe na saiz uliyojaliwa utakuja kuua watoto bure kwa kupaka mchina au makansa bureYap,am back, what's ur comment on the topic? How did u do to enlarge yours? Plse, help your mate.
sister umemsoma nivea? peleka huu ushauri kwa mdogo wako, Nyakwaratony upo?ukishakuwa mama yanakuja tu yenyewe na saiz uliyojaliwa utakuja kuua watoto bure kwa kupaka mchina au makansa bure
:focus:
unaweza kuleta na picha ili tujadili kitu wakati tumeona ukubwa wake.....
my dia pole kwa tatizo
lako,njoo kwetu huku bukoba kuna wadudu wanapatikana mtoni ukiwaweka
kwenye matiti wakikuuma tu basi linakuwa kuubwa na tatizo lako litakuwa
limetatulika kama vipi ni pm ntakupa maelezo zaizi...
nimeusoma labda akijifungua ndo yataongezeka ila kwa sasa hamna kitu kwa kweli........au kwa sababu ana tumbo kubwa ndo mana maziwa yanaonekana yapo hivyohivyo?
nimeusoma labda akijifungua ndo yataongezeka ila kwa sasa hamna kitu kwa kweli........au kwa sababu ana tumbo kubwa ndo mana maziwa yanaonekana yapo hivyohivyo?
wala hachukizi maziwa yake yameendana na mwili wake..............ila mlivyosema akiwa na mimba yanaongezeka ndo hapo utata ulipoanzia.Yataongezeka, kwani anachukiza nini? Mbona wanaume wengi hawapendi nido hivyo ndivyo safi hata upande wa mavazi anakuwa vizuri(anapendeza) au we unamwonaje?
Tangu niliposoma post yako kwa yule kijana mwenye Masterz na hana kazi niligundua kwamba wewe ni great thinker na hazina kubwa kwa Taifa. Kwanini JK hawatumii watu kama hawa kwa ushauri na badala yake amewang'ang'ania kina Dr Ndumbaro na Mwinyimvua mpaka anashindwa kuhutubia mwisho wa mwezi? Ubarikiwe sana MkuuKwanini kujitafutia matatizo? boyfriend wako amekubaliana na wewe kwamba utafute artificials? au ndo mmeshamwagana naye. Ni kwani hamjiamini na uumbaji wa Mungu nyinyi wakina mama? wewe umeshaambiwa ni hormone hizo, sasa bado unatfuta kumchallenge Muungu aliyekuumba kwa kutafuta artificial (mchina)? wewe un bahati lkn sasa unajitafutia matatizo.
Mimi nakushauri ujiamini na umshukuru Mungu wako kwa uumbaji wake kwako na usonge mbele na maisha. Achana na tabia ya kujirundukia artificials mwilini,ipo siku utakuja ujutie. Pia, vitu vingine ni logic tu na wala huitaji kuja hapa jamvini, kwani hapa kuna watu wa kila aina. Wapo wasiojali matokeo ya kile wanachokushauri kwani huo utakuwa ni mzigo wako. Ni bora uwe na amani, na kikuu ni kwamba UJIAMINI na uachane na maisha ya kuigiza hayo.
OOOOOh my dear how old are you?habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. napenda maziwa makubwa. hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .