kvelia JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 246 Reaction score 44 Jul 23, 2012 #61 Dada usipende kujibadilisha kabisa, wala usifikiri uko tofauti na wengine, wapo wengi wenye matiti madogo lakini wakishapata ujauzito yanaongezeka kabisa na mfano ninao. Matiti makubwa sii wingi wa maziwa.
Dada usipende kujibadilisha kabisa, wala usifikiri uko tofauti na wengine, wapo wengi wenye matiti madogo lakini wakishapata ujauzito yanaongezeka kabisa na mfano ninao. Matiti makubwa sii wingi wa maziwa.
Kingcobra JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,000 Reaction score 310 Jul 25, 2012 #64 Unaonaje ukipiga picha na kuiweka humu jamvini ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kushauri.
A ADK JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 2,236 Reaction score 809 Jul 25, 2012 #65 Hivi huyu kobra vip mawazo yake nayaona mgando siku zote badilika ndugu
MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 707 Jul 26, 2012 #66 Nyakwaratony said: wataalamu gani? Click to expand... Kuna wataalam wa tiba za hospitali na tiba asilia. Wote ni muhimu.
Nyakwaratony said: wataalamu gani? Click to expand... Kuna wataalam wa tiba za hospitali na tiba asilia. Wote ni muhimu.