maziwa madogo (matiti)

maziwa madogo (matiti)

Dada usipende kujibadilisha kabisa, wala usifikiri uko tofauti na wengine, wapo wengi wenye matiti madogo lakini wakishapata ujauzito yanaongezeka kabisa na mfano ninao. Matiti makubwa sii wingi wa maziwa.
 
Unaonaje ukipiga picha na kuiweka humu jamvini ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kushauri.
 
Hivi huyu kobra vip mawazo yake nayaona mgando siku zote badilika ndugu
 
Back
Top Bottom