maziwa makubwa

maziwa makubwa

situmai

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
85
Reaction score
18
hv mtu akitaka kupunguza ukubwa wa maziwa afanyaje bila kudisturb umbile lake la chini.
 
You can't change the nature dada!jikubali hayo ni maumbile kama yalivyo mengine.
 
Nenda Brazil ukafanyiwe upasuaji wa kuyapunguza. Madaktari huko wamebobea na bei ni nafuu

Ahsante
 
You can't change the nature dada!jikubali hayo ni maumbile kama yalivyo mengine.

Ndio maana Watanzania maendeleo yanatupiga chenga.

Unatakiwa control nature iendane na matakwa yako, sio ujipweteke uache nature ishike hatamu
 
usipunguze, idadi ya wake, maana kuna watu choice zao ni wake wenye maziwa makubwa, sasa ukipunguza ukubwa wa maziwa utawafanya wenzako wakose wake.
 
Maziwa makubwa ya kupindukia yanasababisha maumivu ya mgongo na inapendekezwa na madaktari kuyapunguza
 
huwezi kubadilisha bila kutumia madawa ya kichina...furahia uumba wa mwenyezi Mungu dada yangu
 
Ndio maana Watanzania maendeleo yanatupiga chenga.

Unatakiwa control nature iendane na matakwa yako, sio ujipweteke uache nature ishike hatamu

Kwa hiyo kufanyiwa plastic surgery ndio maendeleo na ku- control nature....???Haya maendeleo yatatuua mwaka huu...
Hata kwa mtutu sikubali wacha nibaki nayo makubwa...
 
Kimsingi kuweza ku-control nature ndio msingi wa maendeleo.

Unajenga nyumba na paa na milango na madirisha kwa ajili ya ku-control nature na yatokanayo

Kufanyiwa plastic surgery ni njia moja wapo ya ku-control nature kufanya maisha yako better. Maziwa makubwa yaliyopitiliza yanasabisha maumivu ya mgongo hivyo, zaidi ya yote ni maradhi kama maradhi mengine

Na hata ingekuwa sio maradhi ni urembo, sioni kwa nini kuwe na tatizo kwa maziwa wakati watu wanafanyiwa utaratibu wa kutengenezwa meno, au mabaka ya ngozi na isiwe tabu.
 
Shimboni line?
 
Ndio maana Watanzania maendeleo yanatupiga chenga.

Unatakiwa control nature iendane na matakwa yako, sio ujipweteke uache nature ishike hatamu

kati ya mapoyoy wewe unaweza kuwa mmoja wao tena poyoyo hasa. you can never change the nature, the only thing you can do is to conserve nature.
kamuulize Michael Jackson a.k.a wako jaco kilichomtokea ni nini baada ya kubadili muonekano wake, na pua!! haa alikuja kuzaa mtoto ni mweusi mkaa una afadhali, na ana pua ya kibantu haswaaaaa - thats nature
waulize wanaojaribu kujichubua na vipodozi lukuki, kila siku wanatahadharishwa na side effects zake, matokeo yake wote tunayajua - thats nature, huwezi kubadili rangi ya ngozi yako
cheki wanao pigwa 0173 - matatizo yake ni obvious kwasababu its against nature
naweza kukupa mifano hapa na kibaha
lakini yote kwa yote, a scientist of all ages Albert Einstern anasema "the only way of understanding the world is to understand the nature, and live it"
so never change the nature, be proud of how you are. kuna watu wanachoma sindano yake makubwa
 
Michael Jackson ana mtoto mweusi? Yupo wapi, hebu tuwekee picha yake tumuone!

Kama ni kubaki nature ifuate mkondo, tusingetibu vilema kwa watoto wanaozaliwa navyo, tusingefanya transplant ya retina na lenzi za macho kwa wenye upofu, tusingewawekea watu mafigo mapya kama nature iachwe ifanye kazi yake wala tusingetengeneza meno yakae sawa kwa wale ambao nature imewapa meno yalopandiana.

Watu wanapigwa rays kuondolewa nywele za mwili, na hakuna madhara yoyote na nywele zote zinaisha.

Kwa nini yote hayo yawe sawa kubadili nature ila iwe vibaya kubadili maziwa makubwa ambayo yanaweza kukusababishia maumivu ya mgongo!

Ni ukosefu wa fikira za kimaendeleo, kuwa nature uiwache tu ifanye itakavyo.
 
kati ya mapoyoy wewe unaweza kuwa mmoja wao tena poyoyo hasa. you can never change the nature, the only thing you can do is to conserve nature.
kamuulize Michael Jackson a.k.a wako jaco kilichomtokea ni nini baada ya kubadili muonekano wake, na pua!! haa alikuja kuzaa mtoto ni mweusi mkaa una afadhali, na ana pua ya kibantu haswaaaaa - thats nature
waulize wanaojaribu kujichubua na vipodozi lukuki, kila siku wanatahadharishwa na side effects zake, matokeo yake wote tunayajua - thats nature, huwezi kubadili rangi ya ngozi yako
cheki wanao pigwa 0173 - matatizo yake ni obvious kwasababu its against nature
naweza kukupa mifano hapa na kibaha
lakini yote kwa yote, a scientist of all ages Albert Einstern anasema "the only way of understanding the world is to understand the nature, and live it"
so never change the nature, be proud of how you are. kuna watu wanachoma sindano yake makubwa

It's not about changing nature but more so about taming it.
 
je ni ya asili au ya kichina? kama ni ya asili yaache yalivyo usijaribu kuyagusa? ukiyapunguza yawe madogo zaidi utasema tena nataka yawe makubwa.
 
Kimsingi kuweza ku-control nature ndio msingi wa maendeleo.

Unajenga nyumba na paa na milango na madirisha kwa ajili ya ku-control nature na yatokanayo

Kufanyiwa plastic surgery ni njia moja wapo ya ku-control nature kufanya maisha yako better. Maziwa makubwa yaliyopitiliza yanasabisha maumivu ya mgongo hivyo, zaidi ya yote ni maradhi kama maradhi mengine

Na hata ingekuwa sio maradhi ni urembo, sioni kwa nini kuwe na tatizo kwa maziwa wakati watu wanafanyiwa utaratibu wa kutengenezwa meno, au mabaka ya ngozi na isiwe tabu.

Sio kila kitu kinapaswa tukifuate kwa kuwa ni maendeleo...Kutumia computer,simu etc its ok..lakn kuna mambo mengine kama njia za uzazi wa mpango,plastic surgery hebu tumuachieni Mungu jamani na nature yake....
 
Back
Top Bottom