Michael Jackson ana mtoto mweusi? Yupo wapi, hebu tuwekee picha yake tumuone!
Kama ni kubaki nature ifuate mkondo, tusingetibu vilema kwa watoto wanaozaliwa navyo, tusingefanya transplant ya retina na lenzi za macho kwa wenye upofu, tusingewawekea watu mafigo mapya kama nature iachwe ifanye kazi yake wala tusingetengeneza meno yakae sawa kwa wale ambao nature imewapa meno yalopandiana.
Watu wanapigwa rays kuondolewa nywele za mwili, na hakuna madhara yoyote na nywele zote zinaisha.
Kwa nini yote hayo yawe sawa kubadili nature ila iwe vibaya kubadili maziwa makubwa ambayo yanaweza kukusababishia maumivu ya mgongo!
Ni ukosefu wa fikira za kimaendeleo, kuwa nature uiwache tu ifanye itakavyo.