Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
much bettter because she is another different person discover that you are problematic not myself.good nightFeeling better now?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
much bettter because she is another different person discover that you are problematic not myself.good nightFeeling better now?
much bettter because she is another different person discover that you are problematic not myself.good night
Michael Jackson ana mtoto mweusi? Yupo wapi, hebu tuwekee picha yake tumuone!
Kama ni kubaki nature ifuate mkondo, tusingetibu vilema kwa watoto wanaozaliwa navyo, tusingefanya transplant ya retina na lenzi za macho kwa wenye upofu, tusingewawekea watu mafigo mapya kama nature iachwe ifanye kazi yake wala tusingetengeneza meno yakae sawa kwa wale ambao nature imewapa meno yalopandiana.
Watu wanapigwa rays kuondolewa nywele za mwili, na hakuna madhara yoyote na nywele zote zinaisha.
Kwa nini yote hayo yawe sawa kubadili nature ila iwe vibaya kubadili maziwa makubwa ambayo yanaweza kukusababishia maumivu ya mgongo!
Ni ukosefu wa fikira za kimaendeleo, kuwa nature uiwache tu ifanye itakavyo.
dada ushaandaa majibu yako kichwani unakuja kutuchosha tu kila unachoshauriwa unagoma nenda kafanye upasuaji uridhike,allllaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa