Me too!hebu niepuka hii laana nyemelezi ya kujitakia!mwishowe wataanza kujadili videvu msasa vya baba zetu!silver hair na kila kitu!Wai....sijadili hii kitu...nitamkosea adabu mama yangu! Ana wajukuu sasa...
JF doctor's Nini kinasababisha maziwa/matiti ya mwanadada (20's - 40) kusinyaa hata kama hana mtoto?Hizi brazia zinaficha mambo mengi sana...ukitazama unaona kifua kinakualika ikifika kwenye game unakosa hata hamu ya tendo lenyeweJe. 1. Ni kwa sababu ya vyakula tu 2. Kuchezewa/kushikwa shikwa/kufyonzwa mara kwa mara na vidume 3. Joto/hali ya hewa ya mahali 4. ..............?
sio kweliii..ni kunyonywa sanaaaaaa...hapo hakuna suala la genetics wala genes...fanya simpo reserch utaona mwenyewe.
Wee chezea,bra zikifichwa hata kazini huendi..lolest
Hahahahaaa mbona tutaandamana:shocked:Chocs mbona nilisikia kuna kampeni imeanzishwa kuhimiza wanawake kuacha kuvaa bra kwani zinachangia kwa kiasi kikubwa kansa ya maziwa.sasa hii kampeni ikipamba moto itakuwaje? maana duu kweli wengine japo yako ndani ya bra lakini ni kama umoja...:faint2: