Maziwa/matiti kusinyaa

Maziwa/matiti kusinyaa

Wai....sijadili hii kitu...nitamkosea adabu mama yangu! Ana wajukuu sasa...
Me too!hebu niepuka hii laana nyemelezi ya kujitakia!mwishowe wataanza kujadili videvu msasa vya baba zetu!silver hair na kila kitu!
 
JF doctor's Nini kinasababisha maziwa/matiti ya mwanadada (20's - 40) kusinyaa hata kama hana mtoto?Hizi brazia zinaficha mambo mengi sana...ukitazama unaona kifua kinakualika ikifika kwenye game unakosa hata hamu ya tendo lenyeweJe. 1. Ni kwa sababu ya vyakula tu 2. Kuchezewa/kushikwa shikwa/kufyonzwa mara kwa mara na vidume 3. Joto/hali ya hewa ya mahali 4. ..............?

We endelea tu, kkinachofata utataka mashoga hao yamesimama kutwa!
 
sio kweliii..ni kunyonywa sanaaaaaa...hapo hakuna suala la genetics wala genes...fanya simpo reserch utaona mwenyewe.

SIKUBALIANI NAWE JAPO SINA SABABU. WENGINE HATA HAHAJAWAHI KUNYONYWA NA TAYARI YAMELEGEA mimi49 NADHANI YUPO SAHIHI. HUJAWAHI ONA HATA MTOTO WA PRIMARY YAMELEGEA?
LABDA UNIAMBIE SIZE INA MATTER PIA.
HAYO YA MAJUU YANATENGENEZWA HATA KWA MAUMBILE WAONA SI HALISIA KABISA ILA WACHACHE NI KWELI.
JAPO YAWEZA KAA VYEMA KWA MAZOEZI. The Boss UMELIKE NINI HAPO?
 
Chocs mbona nilisikia kuna kampeni imeanzishwa kuhimiza wanawake kuacha kuvaa bra kwani zinachangia kwa kiasi kikubwa kansa ya maziwa.sasa hii kampeni ikipamba moto itakuwaje? maana duu kweli wengine japo yako ndani ya bra lakini ni kama umoja...:faint2:
Wee chezea,bra zikifichwa hata kazini huendi..lolest
 
Last edited by a moderator:
Chocs mbona nilisikia kuna kampeni imeanzishwa kuhimiza wanawake kuacha kuvaa bra kwani zinachangia kwa kiasi kikubwa kansa ya maziwa.sasa hii kampeni ikipamba moto itakuwaje? maana duu kweli wengine japo yako ndani ya bra lakini ni kama umoja...:faint2:
Hahahahaaa mbona tutaandamana:shocked:
 
Back
Top Bottom