Maziwa mtindi, ndizi mbivu ni tiba kwenye pombe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mtu aliyelewa sana au mwenge hangover ya pombe dawa yake ni glass moja tu ya mtindi. Mtu aliyekunywa pombe na anataka kukata harufu ya pombe dawa yake ni ndizi mbivu
 
kwa nini ukate harufu kwani umekunywa mataputapu!!
 
asante cha pombe mwenzangu, na ukitaka kukata hamu ya kunywa je?
 
Nilikuwa naamini hvyo lakini si kweli hasa kwenye ndizi mbivu, we kunywa viroba vyako harafu fakamia mandizi uone km harufu itakata we hautaisikia ila jua utakuwa unatia aibu tu, Jishuku!!!!
 
Hiyo dawa kweli ila kesho yake
 
asante cha pombe mwenzangu, na ukitaka kukata hamu ya kunywa je?

kunguni mmoja msage muweke kwenye glass ya pombe, na si pombe hata madawa ya kulevya, sigara na hata bhangi weka unga wake kwenye kichungi halafu vuta kama kawaida. ukifanikiwa kumaliza huo ndo utakuwa mwisho wako wa kutumia kilevi cha aina yoyote ile
 
sasa hapo si kuacha, mimi nataka kukata hamu tu, maana nikiona bango tu la chuichui, basi koo lonaanza kutingishika.
 
Back
Top Bottom