Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
yananenepeshaHabari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibun nataka niwe natumia permanently kila siku ...nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu
Utakuwa kibongeHabari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibun nataka niwe natumia permanently kila siku ...nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu
Hayo ni freshNimewahi kusikia yananenepesha. Ila zipo makala zinasema ni mazuri kwa watu wanaopunguza uzito
Kwavile umeanza kuyatumia utjua kama yanakondesha ama kunenepesha hakikisha huna marejeshoHabari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibun nataka niwe natumia permanently kila siku ...nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu
Kama weweUnanenepa sana
Kama unakunywa glass moja kila siku jeinategemea unakunywaje
Wewe ndo umecomment vice-versa π π πreversed question, mbona kama vile unataka ujue kama yananenepesha maana umekonda na hauupendi mwili wako
Ukinywa Kwa mpangilio Gani unanenepayananenepesha