Maziwa mtindi yananenepesha au yanakondesha

Maziwa mtindi yananenepesha au yanakondesha

nitumie picha yako pm nione mwili wako kwanza halafu ndo nikushauri ufanye nini.. swala la afya linahitaji umakini sana dada angalia usije ukanenepa ukawa kitutufe!
Hapana
 
Habari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibun nataka niwe natumia permanently kila siku ...nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu
Dada swali lako ni mind games lakini kukukondesha no thank you na kingine too much is harmful iyo kila siku dada yangu baadae utakoma
 
Maziwa yote yana fati ambayo huongeza mwili na kitambi kwa hiyo tarajia kunenepa na uzito kuongezeka lakini pia kitambi flani hasa kama sio mtu wa mazoezi
Nimeyanywa na niliona matokeo yake
 
Inategemea unayanywa vipi... Kama unashushia baada ya ugali kila siku lazima unenepe
 
Back
Top Bottom