yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Unakiambia kizazi hichi kinachokulana uchi! Mbona maziwa kitu kidogo tu..[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Unakiambia kizazi hichi kinachokulana uchi! Mbona maziwa kitu kidogo tu..[emoji23]
Umeona,, uyapate ya ng'ombe wa kienyeji we ni balaaUmenikumbuka masulu ni matamu hayo ila ni kama mchuzi mepesii hamna matuli hata kidogo[emoji23]
Mhm[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara.
Nawasilisha.
Ushawahi pata food poisoning wewe, hungemwambia hivyo. Chemsheni maziwa baada ya kuyakamua, period. Mengine ni kujitakia!
Kama maziwa ni sumu basi Masaai wote wangekua wameshakufa zamani sana.